Posts

Showing posts from March, 2014

MAVAZI MAZURI YA KUPENDEZA; KATIKA HAFLA YA KUADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE,NDANI YA UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE JIJINI DAR

Image
MAVAZI MAZURI YA KUPENDEZA; KATIKA HAFLA YA KUADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE,NDANI YA UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE JIJINI DAR Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mama Asha Bilal akiambatana na Mwenyeji wake,Shamim Mwasha wakati akikagua kazi mbalimbali za wanawake kwenye hafla ya Siku ya Wanawake,iliyofanyika jioni ya kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee,jijini Dar es Salaam.. Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mama Asha Bilal na Mwenyeji wake,Shamim Mwasha wakipitia moja ya vitabu vya watoto vilivyotungwa na mmoja wa wanawake wa Tanzania. Meza kuu. Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya 8020 Fashions ambao ndio waratibu wa Hafla ya Siku ya Wanawake,Shamim Mwasha akizungumza machache kabla ya kumkaribisha mgeni Rasmi kuja kutoa hotuba yake.Hafla hiyo imefanyika jioni ya kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee,jijini Dar es Salaam. Mgeni Rasmi katika Hafla ya siku ya Wanawake,Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...