TEKNOLOJIA NA MABADILIKO YAKE: WAZIRI DKT. FENELLA MUKANGARA AFUNGUA LA 9 LA CTO LA MABADILIKO YA MFUMO WA UTANGAZAJI WA ANALOJIA KWENDA DIJITALI (DBSF) JIJINI ARUSHA
TEKNOLOJIA NA MABADILIKO YAKE: WAZIRI DKT. FENELLA MUKANGARA AFUNGUA LA 9 LA CTO LA MABADILIKO YA MFUMO WA UTANGAZAJI WA ANALOJIA KWENDA DIJITALI (DBSF) JIJINI ARUSHA Waziri wa Habari, vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangara akifuatilia hotuba mbalimbali katika ufunguzi wa Kongamano la 9 la uhamaji wa mfumo wa utangazaji kutoka analojia kwenda dijitali Afrika 2014 (DBSF)ulioanza jijini Arusha. Katikati ni Katibu Mtendaji wa Shirika la Mawasiliano kwa nchi za Jumuia ya Madola (CTO), Tim Unwin akifuatiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Prof. John S.Nkoma. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Prof. John S.Nkoma akitoa hotuba yake. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Prof. John S. Nkoma akizungumza. Baadhi ya waalikwa ambao ni viongozi wa Vituo vya televisheni nchini Tanzania Baadhi ya wajumbe wa bodi ya Wakuruge...