Posts

Showing posts with the label MAENDELEO YA TAIFA

Mkuu wa Wilaya Lucy Mayenga Aihofia Kasi ya Magufuli..Ajisalimisha na Kumuomba Rais Asimchague Tena Ukuu wa Wiliya

Image
Wakati Taifa likisubiri uteuzi wa wakuu wa wilaya huku wanaoshikilia nafasi hizo wakiwa katika chekeche kwa kuzingatia vigezo vitano, Mkuu wa Wilaya Iramba, mkoani Singida, Lucy Mayenga amemuomba Rais John Magufuli asimjumuishe kwenye orodha ya wakuu hao anayotarajia kuitangaza wakati wowote. Rais Magufuli ameweka bayana vigezo atakavyotumia kufanya uteuzi wa wakuu hao wa wilaya ambavyo ni pamoja na suala la migogoro ya ardhi, tatizo la elimu hasa upungufu wa madawati, njaa na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu alivyovitangaza wakati akizungumza na wazee wa Dar es Salaam na katika uteuzi wa wakuu wa mikoa, alizungumzia pia suala la wafanyakazi hewa ambao wamekuwa wakilipwa mishahara bila ya wahusika kuchukua hatua kudhibiti. Akizungumza kwenye kikao cha UWT, Mkoa wa Shinyanga mwishoni mwa wiki, Mayenga ambaye pia ni mbunge wa Viti Maalumu alisema aliwasilisha ombi hilo binafsi kwa Rais Magufuli ili apate fursa ya kusimamia biashara zake alizosema zin...

Jiji la Mwanza Lasimama Wenje Ashinda Kesi ya Pingamizi Lililowekwa na Mabula Mahakamani

Image
Jiji la Mwanza Lasimama...Wenje Ashinda Kesi ya Pingamizi Lililowekwa na Mabula Mahakamani Aliyekuwa Mbunge wa Nyamagana Ezekiah Wenje ameshinda pingamizi aliyowekewa na mbunge wa Nyamagana Stanslaus Mabula Kesi ya msingi itaanza kusilizwa tarehe 6|03|2016. Jiji limesimama kwa muda watu wanashangili kwa furaha mama ntilie machinga ..wanashingilia taarifa kamili tutawaletea baadae.

Waziri Mkuu Kuanza kutembelea miradi ya serekali ambayo inatakiwa kuwa nufaisha wananchi wa kanda ya ziwa.

Image
Waziri Mkuu Kuanza kutembelea miradi ya serekali ambayo inatakiwa kuwa nufaisha wananchi wa kanda ya ziwa. juliusjoseph.blogsport.com Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa leo anatarajia kuanza ziara ya siku 14 katika mikoa ya Kanda Ziwa kukagua shughuli na miradi ya maendeleo.