Posts

Showing posts with the label MAPINDUZI DAIMA YA MIAKA 50 YA ZANZIBAR YA KITAIFA

MAPINDUZI DAIMA NA PICHA MBALIMBALI KATIKA SHEREHE YA MIAKA 50 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

Image
MAPINDUZI DAIMA: PICHA MBALI MBALI KATIKA SHEREHE YA MIAKA 50 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR  Rais wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia wananchi wa Zanzibar wakati akiingia kwenye uwanja wa Amani  na gari la wazi kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mamia ya wakazi wa Zanzibar wakati akiwasili kwenye Uwanja wa Amani kwenye kilele cha sikukuu ya miaka ya 50 ya Mapinduzi.  Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni akisalimiana na baadhi ya viongozi waandamizi wa Jeshi kwenye uwanja wa Amani wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.  Sehemu ya Umati uliofurika wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akikagua vikosi vya gwaride kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar kwenye uwanja wa Amani.  Maandam...