HIZI NDIZO DALILI ZA WANAUME WASIO NA UWAMINIFU KWA WAKE ZAO!
9 Januari 2014 HIZI NDIO DALILI ZA MWANAUME ASIYE MWAMINIFU 1.Muda mchache sana huutumia na wewe. Hii huwa tofauti na kipindi cha mwanzo cha mahusiano yanapoanza. Ambapo muda mwingi hupenda kuwa karibu yak. Kukusikia kama si kukuona kabisa. 2.Hana hamu nawe ya kimapenzi tena. Tofauti na mwanzo au ilivyozoeleka katika mahusiano yenu. Kama yeye alikuwa akikuhitaji faragha, basi sasa hata kama ni wewe ndiye unemuhitaji basi atakujibu amechoka. 3.Atakuwa anakukwepa. Atakwepa mawasiliano nawe atakwepa kuonana na wewe atakwepa majukumu yake ya kawaida aliyokuwa anakufanyia siku zote kipindi mnaanza mahusiano 4.Atakuwa mkali tofauti na mwanzo. Hathamini tena kukubembeleza pale atakapoona amezidisha ukali katika sauti yake. Hathamini chozi lako hata ukilia mbele yake. MADEMU WA TOWN BALAA, HIVI NDIVYO WANAVYO TENGENEZA BIKRA FEKI WANAUME,kuweni makini na Bikra feki...Wanawake wana mbinu nyingi...