Posts

Showing posts with the label MATUKIO YA ARUSHA

MTOTO WA KIGOGO AMPIGA RISASI YA KICHWA MFANYAKAZI WA BAR, AKAMATWA NA KUCHIWA GHAFLA NA JESHI LA POLISI

Image
MTOTO WA KIGOGO AMPIGA RISASI YA KICHWA MFANYAKAZI WA BAR, AKAMATWA NA KUCHIWA GHAFLA NA JESHI LA POLISI 11:03 PM JULIUSJOSEPH.BLOGGER.COM   Jeshi la polisi mkoani Arusha limemshikilia na kisha kumwachia “chapchap” mtoto   wa mwenyekiti wa CCM wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro na mfanyabiashara maarufu nchini,Oscar Themi   kwa kosa   la kumpiga risasi ya kichwa mhudumu wa bar ya Empire iliyopo eneo la Shoprite jijini Arusha. Mtuhumiwa huyo ,Dereck Themi   alishikiliwa na polisi mwishoni mwa wiki iliyopita mara baada ya kutofautiana na mhudumu huyo wakati alipompatia bili ya vinywaji aliyokuwa akitumia ndani ya bar hiyo kabla ya kumtandika risasi. Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa mashuhuda wa tukio hilo walidai kuwa mnamo novemba 29 mwaka huu majira ya saa 7.30 usiku mtoto huyo wa kigogo alimfyatulia risasi mhudumu huyo aliyetambulika kwa jina la Witness Erasto wakati alipompatia bili ya vinywaji. Mashuhuda...

MTOTO WA KIGOGO MKOANI ARUSHA AMPIGA MFANYAKAZI WA BAR RISASI

Image
MTOTO WA KIGOGO MKOANI ARUSHA AMPIGA MFANYAKAZI WA BAR RISASI   Jeshi la polisi mkoani Arusha limemshikilia na kisha kumwachia “chapchap” mtoto   wa mwenyekiti wa CCM wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro na mfanyabiashara maarufu nchini,Oscar Themi   kwa kosa   la kumpiga risasi ya kichwa mhudumu wa bar ya Empire iliyopo eneo la Shoprite jijini Arusha. Mtuhumiwa huyo ,Dereck Themi   alishikiliwa na polisi mwishoni mwa wiki iliyopita mara baada ya kutofautiana na mhudumu huyo wakati alipompatia bili ya vinywaji aliyokuwa akitumia ndani ya bar hiyo kabla ya kumtandika risasi. Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa mashuhuda wa tukio hilo walidai kuwa mnamo novemba 29 mwaka huu majira ya saa 7.30 usiku mtoto huyo wa kigogo alimfyatulia risasi mhudumu huyo aliyetambulika kwa jina la Witness Erasto wakati alipompatia bili ya vinywaji. Mashuhuda walidai kuwa kulitokea na hali ya tofauti kati yao ambapo   Themi alikubali kulipa bili hiyo ambapo alic...