Posts

Showing posts with the label MTWARA MATUKIO

HATIMAYE KIONGOZI MARKIA NA RAIS MPYA WA KIJIJI CHA MAISHA PLUS WAPATIKANA‏

Image
Markia Mpya wa Kijiji cha Maisha Plus Elizabeth Masha kutoka Morogoro Tanzania.   Rais Mpya wa Kijiji cha Maisha Plus Mary Masha kutoka Nchini Kenya   Ndani ya Kijiji cha Maisha Plus/ Mama Shujaa wa chakula kila siku ya Alhamisi huwa panafanyika uchaguzi wa kumpata Rais mpya ambaye anachaguliwa na Washiriki wenyewe wa Kijiji cha Maisha Plus ambapo kati ya hao mmoja hupatikana na  Marais  waliopita hawapatiwi nafasi ya kugombea tena, na kwamba mama yake na Rais huteuliwa moja kwa moja kuwa Markia wa Kijiji hicho. Kazi ya uchaguzi ilianza Kijijini hapo ambapo idadi ya washiriki 36 wakiwemo vijana 16 na kinamama 20 Kila siku ya Alhamisi ni siku ya uchaguzi wa Rais wa kijiji cha Maisha Plus  ambaye husimamia shughuli zote zinazofanyika katika kijji hicho. Wiki hii washiriki 10 waliteuliwa kugombea nafasi ya urais ambapo 7 ndiyo waliopigiwa kura ya siri na kupata mshindi. Washiriki wawili...

JESHI LA ULINZI TANZANIA HATIMAYE LAMALIZA VURUGU ZA MTWARA!!

Image
JESHI LA ULINZI TANZANIA HATIMAYE LAMALIZA VURUGU ZA MTWARA!! Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Devis Mwamunyange .................................................................................. *Wazunguka mitaani kwa amani kulinda usalama *Watu 91 wamakatwa, msako mkali kila kona *Mabasi yagomea Lindi,watoto wapoteana na wazazi UWAMUZI wa Serikali kupeleka askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) mkoani Mtwara kwa ajili ya kuongeza nguvu ya kukabiliana na wimbi la vurugu, zimeanza kuzaa matunda. Matunda hayo yalianza kuonekana mapema jana askari hao walipoanza kupita katika mitaa mbalimbali ya mji wa Mtwara, ambao juzi uligeuka uwanja wa vita. Katika vurugu za juzi, polisi walilazimika kutumia risasi za moto, mabomu ya machozi na maji ya kuwasha kukabiliana na wananchi ambao waliamua kujichukulia sheria mkononi kwa kufanya vurugu na kusababisha uharibifu mkubwa. Lakini jana askari wa JWTZ, walionekana katika...