Posts

Showing posts with the label MUZIKI

Msanii Aelezea kwa nini alikata uume wake

Image
  Je unamkumbuka mwanamuziki wa kufoka Andre Johnson ambaye alikata Uume wake mwezi Aprili na kisha kujirusha kutoka juu ya jumba moja mjini Los Angeles? Sasa basi emetoa sababu zake akisema alikuwa na akili timamu alipokuwa anafanya hivyo. Johnson, aliishangaza jamii ya wanamuziki wa kizazi kipya, kufuatia kitendo chake cha kukata uume wake Kaskazini mwa Hollywood mwezi Aprili. Madaktari walishindwa kunguanisha sehemu aliyoikata na sehemu nyeti ya mwili wake. Tangu hapo alikimya kwa miezi miwili akipokea matibabu. Lakini aliamua wiki hii kujieleza kwa nini alichukua hatua hiyo na kuambia kituo cha televisheni cha E! nchini Marekani:''Ndio nilikuwa nimetumia dawa za kulevya , lakini nilikuwa najifahamu.'' 'Mi...

MZE WA KUCHEZA BILA KUGUNJA GOTI MWANA FA AKIFANYA YAKE USIKU WA UTOAJI TUZO ZA KILI

Image
Mwanamuziki FA akifanya vitu vyake katika usiku wa utoaji tuz za Kili ndani ya Mlimani City. Madansa wa FA waliokuwa wamevalia Kimasai wakitoka stejini baada ya makamuzi

OMI DIMPOZ, VANESSA ON DA STAGE WA KIFANYA YAO.

Image
Wanamuziki Ommy Dimpoz na Vanessa Mdee wakifanya vitu vyao stejini

MWONEKANO ,TASWIRA ZA UTOAJI TUZO ZA KILI USIKU HUU ZILIZOFANYIKA PALE MLIMANI SITY

Image
Young Killer akipokea tuzo ya Msanii Bora Chipukizi Anayeibuka kutoka kwa msanii JB. Washereheshaji wa shughuli ya leo Mpoki na Shadee wakiwa kazini.

HAWANI WEUSI MWAMBA WA KASKAZIN PAMOJA NA RAIS WA MAZESE , MADEE WAKIPAGAWISHA USIKU WA TUZO ZA KILI NDANI YA MLIMANI CITY

Image
Kundi la Weusi likipiga shoo ya nguvu ndani ya usiku wa Kili, Mlimani City. Msanii Madee na vijana wake wakifanya yao stejini.

KIJANA MWENYE MAFANIKIO MAKUBWA KIMZIKI MSANII DIAMOND ANATISHA, ATWAA TUZO 7 KTMA USIKU HUU

Image
Diamond Platnumz akipokea mojawapo ya tuzo zake kutoka kwa baby wake, Wema Sepetu ' Beautiful Onyinye '. Damond akikumbatiana na mpenzi wake Wema kabla ya kukabidhiwa tuzo. Diamond akiwa na mojawapo ya tuzo zake. Mshindi wa tuzo saba (7) za Kilimanjaro Music Awards, Diamond Platnumz akiwa katika pozi na mpenzi wake Wema Sepetu. STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' amejinyakulia jumla ya tuzo saba katika zoezi la utoaji tuzo za Kili usiku huu ndani ya Mlimani City jijini Dar es Salaam

HATIMAYE KIONGOZI MARKIA NA RAIS MPYA WA KIJIJI CHA MAISHA PLUS WAPATIKANA‏

Image
Markia Mpya wa Kijiji cha Maisha Plus Elizabeth Masha kutoka Morogoro Tanzania.   Rais Mpya wa Kijiji cha Maisha Plus Mary Masha kutoka Nchini Kenya   Ndani ya Kijiji cha Maisha Plus/ Mama Shujaa wa chakula kila siku ya Alhamisi huwa panafanyika uchaguzi wa kumpata Rais mpya ambaye anachaguliwa na Washiriki wenyewe wa Kijiji cha Maisha Plus ambapo kati ya hao mmoja hupatikana na  Marais  waliopita hawapatiwi nafasi ya kugombea tena, na kwamba mama yake na Rais huteuliwa moja kwa moja kuwa Markia wa Kijiji hicho. Kazi ya uchaguzi ilianza Kijijini hapo ambapo idadi ya washiriki 36 wakiwemo vijana 16 na kinamama 20 Kila siku ya Alhamisi ni siku ya uchaguzi wa Rais wa kijiji cha Maisha Plus  ambaye husimamia shughuli zote zinazofanyika katika kijji hicho. Wiki hii washiriki 10 waliteuliwa kugombea nafasi ya urais ambapo 7 ndiyo waliopigiwa kura ya siri na kupata mshindi. Washiriki wawili...

USIKOSE KUFUATILIA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS LEO

Image

MSANI MAARUFU TANZANIA ASALI YA WAREMBO DIAMOND ( PLTM) HAONYESHA JINSI ANAVYOWAPENDA WA SHABIKI WAKE WA KUSINI MWA MTWARA KWA KUWABURUDISHA AHAIDI KUWATENDEA HAKI KILA MWAKA WAKAZI WA KUSINI

Image
Mwanamuziki Mahiri wa muziki wa kizazi kipya nchini Diamond Platinum,akiwapagawisha mashabiki wake wa mkoa wa mtwara waliofurika katika Tamasha la Ties & Heels lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika kwenye ukumbi wa Makonde beach Mkoani Mtwara jana. Mwanamuziki Mahiri wa muziki wa kizazi kipya nchini Diamond Platinum,akicheza na madansa wake wakati wa  Tamasha la Ties & Heels lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika kwenye ukumbi wa Makonde beach Mkoani Mtwara…

TEN RICHEST AFRICAN MUSICIAN

Image
TEN RICHEST AFRICAN MUSICIAN 10. CHAMELEONE    Joseph Mayanja (born 1979) known for his stage name Jose Chameleon, Joe Chameleon, Jose Chameleone, or just Chameleone (sometimes Chameleon) is a reggae musician from Uganda. He mainly sings in Luganda, English and Swahili. Jose Chameleone has become a pop idol in Africa with several of his songs popular on radio, in bars and clubs all over the continent. Several of his songs have turned into popular  phrases  such as Basiima Ogenze, Shida Za Dunia, Nekolera Maali among others. He is generallycredited with the rejuvenation of popular local music in Uganda at the turn of the 21st century. The  Valu  Valu singer is the biggest  money maker  in Eastern Africa and has a fleet of fuel guzzlers as “testimony” to this which include; Cadillac escalade, Mercedes Benz ml 200 super custom convertible and a Premio. He also owns a big mansion in Seguka hills in the outskirts ...

DIAMOND "SHE THE 1 WHO PLAYED A VERY HUGE ROLE IN MY LIFE AND MY MUSIC"

Image
DIAMOND "SHE THE 1 WHO PLAYED A VERY HUGE ROLE IN MY LIFE AND MY MUSIC" I started singing at tender age like Usher, and if my memory  serves me right I remember I was in class five and by then. I couldn’t write my own lyrics therefore I would do  an impression of some  songs and practice repeatedly until I got the lyrics right. However  my mother saw the talent in me and eventually  she started writing lyrics for me. She always encouraged me to open my mouth  in front of others and sing. It seems obvious but it takes a lot of courage, enormous desire and passion to sing in public. My mother instilled all the necessary  requirements I needed to succeed in the music industry in  Tanzania. She has played a very huge role in my life; she was and still is my mentor to date. THANK YOU MAMA

PICHA ZA TAMASHA LA P-SQUARE PALE LEADERS CLUB, JIJINI DAR ES SALAAM. November 30, 2013

Image
PICHA ZA TAMASHA LA P-SQUARE PALE LEADERS CLUB, JIJINI DAR ES SALAAM. November 30, 2013 Jijini Dar es Salaam, 24 Nov 2013 . . Siku ya jumamosi pale leaders club ulikuwa ni usiku wa kihistoria kwa tasnia ya burudani nchini Tanzania baada ya wasanii mapacha wa kundi la P Square, Peter na Paul Okoye kutoa burudani ya aina yake ambayo haijapata kutokea kwa muda mrefu hapa nchini kwa maelfu ya mashabiki wa burudani waliojitokeza katika viwanja vya leaders club. Sasa kama uliikosa siku hiyo, tupia macho katika picha hizi chache, utapata taswira ya siku hiyo.