Posts

Showing posts with the label FILAMU

Msani wa kikundi cha kuchekesha cha kupitia kipindi cha chanel ten ameamua kusema na kufunguka ya moyoni Kitale (Mkude Simba) amwagia sifa kedekede Riyama Ally.

Image
Kupitia ukurasa wa mtandao mmoja maarufu wa kijamii  nchini, mwigizaji wa vichekesho na filamu nchini, Kitale almaarufu kama Mkude Simba amemwamgia sifa kedekede mwigizaji mwigine anayefanya vizuri kwenye upande wa filamu nchini Riyama Ali kama ishara ya kuonesha upendo wake kwa mwanadada huyo. Huku akiwa ameweka picha ya mwanadada Riyama, Kitale aliandika:  "Huyu mdada mm napenda kumuita kambi popote kwa maana ya kwamba achagui scene yy ukimpa scene yoyote ile kwake twende anacheza, ongera kwa hilo kwanza kwa sababu hiyo ndio sifa kubwa ya msanii kiukweli anajua anastahili sifa maana mpaka anakera mh! cjui niseme anaboa..!! ww mdada unajua mpka unaboaaaa"

THE MBONI SHOW : WASANII WA FILAMU LULU NA STEVE NYERERE WATAKUWEPO KWENYE KIPINDI CHA LEO

Image
THE MBONI SHOW : WASANII WA FILAMU LULU NA STEVE NYERERE WATAKUWEPO KWENYE KIPINDI CHA LEO Msanii Nguli na mahiri aliye chini ya Kampuni ya Proin Promotions Limited Elizabeth Michael "Lulu" akisikiliza kwa makini wakati msanii mwenzie Steve Nyerere alipokuwa akiongea katika kipindi cha The Mboni Show  Msanii wa Maigizo Tanzania Steve Mongere aka Steve Nyerere akisalimiana na Mwendesha Kipindi cha The Mboni Show , Mboni Masimba (Wa Kwanza kushoto) mara baada ya kuwasili ndani ya mjengo ambapo kipindi hiko hurekodiwa Pembeni ni Msanii nguli wa Filamu Tanzania Elizabeth Michael "Lulu" akifuatiwa na Meneja Masoko wa Kampuni ya Proin Promotions Limited ambao ni watengenezaji, wauzaji na wasambazaji wa Filamu za Kitanzania Nchini.  Mwendeshaji wa Kipindi cha The Mboni Show Mboni Masimba (Wa Kwanza Kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Muigiza Nguli katika tasnia ya filamu nchini Elizabeth Michael aka Lulu aliye chini ya kam...