Posts

Showing posts with the label UTALI

MH"WAZIRI LAZARO NYALANDU AHIMIZA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA UTALII.

Image
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu akitoa maelezo ya kina kuhusu fursa za uwekezaji katika tasnia ya utalii wa Tanzania wakati alipokuwa akiongea katika Kongamano la ku vutia Uwekezaji nchini lililofanyika Washington DC, Marekani. Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiongea katika Kongamano la kuvutia Uwekezaji nchini lililofanyika Washington DC, Marekani. Kaimu Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii Tanzania Bi. Devota Mdachi akifafanua kwa kina fursa za uwekezaji katika sekta ya utalii wakati alipokuwa akiongea katika Kongamano la kuvutia Uwekezaji nchini lililofanyika Washington DC, Marekani. Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kituo cha Uwekezaji nch ini Bi. Julieth Kairuki akisisitiza jambo wakati alipokuwa akiongea katika Kongamano la kuvutia Uwekezaji nchini lililofanyika Washington DC, Marekani. Meza Kuu ya Wazungumzaji katika Kongamano la kuvutia wawekezaji nchi...

VIVUTIO NA MALIASILI, ARDHI NA MAZINGIRA : KAMATI YA ARDHI ,MALIASILI NA MAZINGIRA IKIONGOZWA NA MHE. JAMES LEMBELI YATEMBELEA HIFADHI YA ARUSHA

Image
VIVUTIO NA MALIASILI, ARDHI NA MAZINGIRA : KAMATI YA ARDHI ,MALIASILI NA MAZINGIRA IKIONGOZWA NA MHE. JAMES LEMBELI YATEMBELEA HIFADHI YA ARUSHA Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi,maliasili na mazingira,James Lembeli akiwa ameongozana na naibu waziri wa maliasili na utalii,Mahamud Mgimwa pamoja na kaimu mkurugenzi mkuu TANAPA,Martin Loibooki katika lango kuu la kuingia hifadhi ya taifa ya Arusha(ANAPA). Baadhi ya watumishi wa hifadhi ya taifa ya Arusha. Naibu waziri wa maliasili na utalii,Mh Mahamud Mgimwa akizungumza katika kikao cha watumishi wa hifadhi ya taifa ya Arusha na kamati ya ardhi,maliasili na mazingira. Kikao cha kamati ya ardhi,malasili na mazingira na watumishi wa hifadhi ya taifa ya Arusha. Mwenyekiti wa kamati ya ardhi,malaisili na mazingira,Mh James Lembeli akizungumza katika kikao cha watumishi wa hifadhi ya taifa ya Arusha na kamati ya ardhi,maliasili na mazingira. Mjumbe wa kamati ya ardhi,maliaisili na mazingira Mh ,...

MGOGORO WA MPAKA : MHE. LAZARO NYALANDU AAGIZA KUMALIZWA KWA MPAKA WA HIFADHI ZETU, HASA TARANGIRE

Image
MGOGORO WA MPAKA : MHE. LAZARO NYALANDU AAGIZA KUMALIZWA KWA MPAKA WA HIFADHI ZETU, HASA TARANGIRE Naibu Waziri Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu akiongea na Kamati za Ulinzi na Usalama za Mikoa ya Manyara na Dodoma wakati wa kikao  maalum cha kujadili masuala ya migogoro ya mipaka katika Hifadhi ya   Taifa Tarangire na Pori la Akiba la Mkungunero wilayani Babati, Manyara. Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Elaston Mbwilo akisitiza jambo wakati wa kikao maalum cha Kamati za Ulinzi na Usalama za mikoa ya Dodoma  na Manyara cha kujadili masuala ya migogoro ya mipaka katika Hifadhi ya  Taifa Tarangire na Pori la Akiba la Mkungunero wilayani Babati, Manyara. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk. Rehema Nchimbi. Sehemu wa wajumbe waliokutana katika kikao maalum cha Kamati za  Ulinzi na Usalama za mikoa ya Dodoma na Manyara cha kujadili masuala ya migogoro ya mipaka katika Hifadhi ya Taifa ...

JE WAJUA HILI:TEMBO PAMOJA NA UBABE WAKE HATAMBI MBELE YA CHURA.

Image
JE WAJUA HILI:TEMBO PAMOJA NA UBABE WAKE HATAMBI MBELE YA CHURA. Chura ni mnyama mdogo sana ambaye binadamu hamthamini na wala kumuogapa,lakini Tembo pamoja na kuwa mnyama mkubwa kuliko wote wa porini anamhara sana chura licha ya udogo wake. Tembo hata  akitaka kunywa maji bwawani,mtoni au mahali popote pale,lakini akisikia sauti ya chura au vyura wanaimba,basi yuko radhi kufa na kiu yake kuliko kuingiza mkonga wake kwenye maji hayo yenye chura. Tembo anapokunywa maji ambayo huyachota kwa mkonga wake na kuingiza mdomoni,anaweza kuchota pamoja na chura.Chura huyo huenda moja kwa moja kwenye tumbo la mnyama huyo.Kwa kuwa Tembo ana tumbo kubwa basi chura hujisikia kama yupo bwawani na huanza kuimba kama kawaida yake. ENDELEA KUSOMA STORY HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI Kwa kufanya vile,Tembo hujisikia vibaya na kuanza kutafuta njia ya kumtoa yule chura kwenye tumbo lake.Hivyo huanza kujibamiza kwenye miti,magogo na kujitupa chini kwa nguvu ili mra...

SAUDI PRINCESS VISIT SERENGETI NATIONAL PARK

Image
SAUDI PRINCESS VISIT SERENGETI NATIONAL PARK