Posts

Showing posts with the label MATUKIO YA AFRIKA

Bomu Lalipuka Maskani ya CCM Zanzibar

Image
Bomu Lalipuka Maskani ya CCM Zanzibar Kitu kinachosadikika kuwa bomu kimeripuka usiku wa kuamkia jana eneo la Michenzani mjini Unguja, eneo linalojulikana kama maskani maarufu ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mlipuko huo umezua taharuki na hofu kwa wananchi wa eneo hilo hususan wanachama wa CCM ambao hukutana kwa wingi eneo hilo na kujadili masuala mbalimbali ya chama chao kuelekea uchaguzi wa marudio uliopangwa kufanyika Machi 20 mwaka huu. Naibu Katibu Mku wa CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai alilaani tukio hilo na kulielezea kuwa  liliandaliwa makusudi kwa lengo la kuwavunja moyo wanachama wa chama hicho. “Hili sio tukio la kwanza wala la pili katika eneo hili ambalo wanachama wetu walio msitari wa mbele wako wengi sana kwa kushirikiana na wanachama wengine.  "Hili ni tukio ambalo unaweza kusema limeandaliwa kwa makusudi na watu wenye dhamira ya kuwavunja moyo wanachama wetu na wapenzi wa CCM,” Vuai aliwaambia waandishi wa habari. ...

Huge Burkina Faso march against President Compaore

Image
Add caption Raised spatulas are a symbol defiance Tens of thousands of people have protested in Burkina Faso's capital, Ouagadougou, against moves to extend the president's 27-year rule. Security forces fired tear gas to disperse protesters who hurled stones and burnt tyres, news agencies report. Schools, universities and shops are shut for the week of planned protests. It is one of the biggest protests demanding that President Blaise Compaore step down when elections take place next year. 'Get out' On Thursday, Burkina Faso's parliament will consider a constitutional amendment that will allow him to run for another five years. Add caption Protesters compared the president to the deadly virus that has hit other West African states The security forces have played a key role in helping Mr Compoare to stay in power Mr Compaore took power in a coup in 1987, and has won four elections since then. The oppo...

HATIMAYE MTANDAO WA MAWASILIANO TANZANIA VODACOM YACHANGIA MWENGE WA UHURU

Image
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Kanali Mstaafu Fabian Massawe akiongea ofisini kwake mjini Bukoba wakati wa hafla fupi ya kupokea mchango wa Sh. 10 Milioni kutoka kampuni ya Vodacom Tanzania kwa ajili ya kuchangia sherehe ya uwashaji mwenge wa Uhuru kitaifa iliyofanyika Mkoani humo. Kutoka kushoto Ni Mkuu wa Vodacom Kanda ya Ziwa Domician Mkama, Mkuu wa Vodacom Foundation Yessaya Mwakifulefule na Meneja Uhusiano wa Nje wa Kampuni hioyo Salum Mwalim.  Mkuu wa Mkoa wa Kagera Kanali Mstaafu Fabian Massawe akihakiki thamani ya hundi ya mfano iliyotolewa na Kampuni ya Vodacom kuchangia sherehe ya uwashaji mwenge wa Uhuru kitaifa iliyofanyika Mkoani humo.Wanaofurahia kitendo hicho kutoka kushoto ni Mkuu wa Vodacom Kanda ya Ziwa Domician Makama, Meneja wa Uhusiano wa Nje wa Vodacom Salum Mwalim, Mkuu wa Vodacom Foundation Yessaya Mwakifulefule na Katibu Tawala wa Mkoa Nassor Mnambila (wa kwanza kulia). Makabidhiano hayo yalifanyi...

RAIS KIKWETE AONGOZA WANANCHI WA MIONO KATIKA MAZIKO YA ALIYEKUWA MBUNGE WA CHALINZE, RAMADHAN BWANAMDOGO

Image
RAIS KIKWETE AONGOZA WANANCHI WA MIONO KATIKA MAZIKO YA ALIYEKUWA MBUNGE WA CHALINZE, RAMADHAN BWANAMDOGO  Rais Jakaya Kikwete, akiteta jambo na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (kushoto) na Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiteta jambo na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa, wakati wakiwa katika maziko ya aliyekuwa Mbunge wa Chalinze, Ramadhan Bwanamdogo, aliyefariki dunia juzi.  Rais Jakaya Kikwete, akisaini katika kitabu cha maombolezo ya aliyekuwa Mbunge wa Chalinze, kwa tiketi ya CCM, Ramadhan Bwanamdogo, aliyefariki dunia juzi. Maziko ya marehemu Bwanamdogo, yamefanyika kijijini kwake Chalinze Miono, Wilaya ya Bagamoyo  Rais Jakaya Kikwete na Makamu wake, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakiwaongoza waombolezaji kuswalia mwili wa marehemu Ramadhan Bwanamdogo, aliyekuwa Mbunge wa Chalinze, aliyefariki juzi. Mazishi ya mbunge huyo yamefanyika leo kijijini kwao Miono.  Makamu wa R...

AJALI MBAYA : AJALI IMETOKEA KATI YA ENEO LA WAMI NA SEGERA

Image
AJALI MBAYA : AJALI IMETOKEA KATI YA ENEO LA WAMI NA SEGERA  Mmoja wa majeruhi wa ajali hiyo akiwa Amelazwa Pembeni baaada ya kupewa msaada  Huyu pia ni mmoja wa majeruhi ambaye ameumia vibaya sana kwenye mguuu wake  Hii ndi gari aina ya Noah ambayo imepata ajali ikiwa imeharibika vibaya kwa mbele  Huyu mama ameumia vibaya sana kwa kupasuka kwenye paji la usoo  Watu wakiendelea kutoa msaada kwa majeruhi wa ajali hiyo Mmoja wa majeruhi wa ajali hiyo akiwa amelazwa pembeni ya barabara Ajali mbaya imetokea mda si mrefu eneo kati ya wami na segera,ajali hiyo imesababishwa na gari aina ya Noah ambayo ilikuwa inatokea Moshi mjini kuelekea Dar,Chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi wa gari hiyo na pia dereva alikuwa anasinsiza hali hiyo iliyopelekea kucha njia na kuenda kuivaaa gari ya mizigo kwa mbele.Gari hiyo ya noah pia ilikuwa imebeba watu kupita uwezo wake ambapo abiria zaidi ya kumi na mbili walikuwa ndani ya gari hiyo.Mpaka chanzo che...

MKANDA WA UCHOCHEZI WA SHEIKH PONDA WANASWA NA SEREKALI

Image
MKANDA WA UCHOCHEZI WA SHEIKH PONDA WANASWA NA SEREKALI *Arekodiwa akihamasisha Waislamu kuasi *Amtumia Mtume kupinga uteuzi wa Rais SERIKALI imenasa kanda za video zinazomuonyesha Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda, akitoa mahubiri yanayowahamasisha waumini wa dini ya Kiislamu kuanzisha uasi dhidi ya serikali. Tukio la kunaswa kwa kanda hizo limekuja ikiwa ni siku chache baada ya Jeshi la Polisi Zanzibar kutangaza kumsaka Sheikh Ponda kwa tuhuma za uchochezi, akingali anatumikia kifungo cha nje cha mwaka mmoja baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya Dar es Salaam kumkuta na hatia ya kosa la uchochezi. Katika kanda hizo ambazo MTANZANIA Jumapili imefanikiwa kuziona, Sheikh Ponda, amerekodiwa akiwa katika Msikiti wa Mbuyuni, Zanzibar, alikohudhuria Mhadhara wa Dini ya Kiislamu, akiwataka waumini wa dini hiyo kuchukua hatua za kuikomboa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, kutoka kwenye mikono...

MAZISHI YA DKT. WILLIAM MGIMWA IRINGA : DKT. JAKAYA KIKWETE AONGOZA WANANCHI KATIKA MAZISHI YA ALIYEKUWA WAZIRI WA FEDHA DKT. WILLIAM MGIMWA, MKOANI IRINGA.

Image
MAZISHI YA DKT. WILLIAM MGIMWA IRINGA : DKT. JAKAYA KIKWETE AONGOZA WANANCHI KATIKA MAZISHI YA ALIYEKUWA WAZIRI WA FEDHA DKT. WILLIAM MGIMWA, MKOANI IRINGA.   Rais Jakaya Mrisho Kikwete, leo akiwa ameongozana na mkewe Mama Salma Kikwete akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kalenga Marehemu William Mgimwa kijijini kwake Magunga jimbo la Kalenga, Iringa,Desemba 6, 2014   Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiweka shada la maua  wakati wa mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kalenga Marehemu William Mgimwa kijijini kwake Magunga jimbo la Kalenga, Iringa.   Rais Jakaya Mrisho Kikwete  na mkewe Mama Salma Kikwete wakitoa heshima baada ya kuweka shada la maua   wakati wa mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kalenga Marehemu William Mgimwa kijijini kwake Magunga jimbo la K...

Maelfu wamzika Mzee Nelson Mandela kijijini kwao Qunu leo

Image
Maelfu wamzika Mzee Nelson Mandela kijijini kwao Qunu leo Sunday, December 15, 2013 Maoni: 0    Mazishi ya Nelson Mandela yanaendelea katika kijiji cha Qunu katika mkoa wa Eastern Cape na kumaliza wiki moja ya maombolezi ya shujaa wa Afrika,Nelson Mandela. Takriban watu 4,500 ikiwemo wageni wa kimataifa wanahudhuria mazishi hayo ambayo ni ya mchanganyiko wa tamaduni za kale na mambo ya kisasa. Familia ya Mandela ilikesha wakijiandaa kwa mazishi ya leo huku kukiwa na muimbaji ambaye atakuwa anaita mizimu ya mababu wa kale na pia wakiongelesha mwili wa Mandela kumwambia kuwa sasa anazikwa. Ni kuambatana na tamaduni na mila za watu wa ukoo wa Mandela wa Thembu. Viongozi wa Afrika, familia na marafiki wametoa heshima zao za mwisho kwa hayati Nelson Mandela katika mazishi yake ya kitaifa katika kijiji cha Qunu katika mkoa wa Cape Mashariki. Mandela a...

HIVI NDIVYO JINISI JINA LA KIKWETE LILIVYOONGOZA MAZISHI YA MANDELA

Image
HIVI NDIVYO JINISI JINA LA KIKWETE LILIVYOONGOZA MAZISHI YA MANDELA Johannesburg. Serikali ya Afrika Kusini, imetoa orodha ya majina ya wakuu wa nchi na Serikali 91 ambao wamethibitisha kushiriki katika shughuli zinazohusiana na safari ya mwisho ya Rais wa kwanza mzalendo wa taifa hilo, Nelson Mandela . Jina la Rais Jakaya Kikwete ni la kwanza katika orodha hiyo inayowaweka viongozi hao katika makundi kutokana na mabara wanakotoka. Rais Kikwete alitarajiwa kuwasili jana usiku tayari kuhudhuria Ibada ya Kitaifa ya Mandela ambayo imepangwa kufanyika leo kwenye Uwanja wa FNB (Soccer City). Kabla ya Serikali kutoa orodha hiyo, Waziri wa Uhusiano wa Kimataifa wa Afrika Kusini, Maite Nkoana-Mashabane alisema wakuu wa nchi na Serikali 53 walikuwa wamethibitisha lakini jana mchana idadi hiyo ilikuwa imeongezeka na kufikia 91. Kulikuwa na wasiwasi kwamba huenda idadi hiyo ikaongezeka na kuzidi 100. Msemaji wa Wizara ya Uhusiano wa Kimataifa ya Afrika ...

NGEMA LA SABABISHA VIFO VYA WATU 6 MKOA WA KILIMANJARO YAUWA WATU SITA NA WENGINE MAJERUHII

Image
Friday, December 13, 2013 NGEMA YAANGUKA KILIMANJARO YAUWA WATU SITA   Wananchi wakijaribu kufukua udongo ili kuopoa  miili ya watu  walofukiwa na kifusi katika machimbo ya Moramu eneo la Pumwani wilaya  ya Moshi vijijini huku wananchi wengine wakishuhudia   Uongozi wa mkoa wa Kilimanjaro ukiongozwa na mkuu wa mkoa wa  Kilimanjaro Leonidas Gama ukishuhudia zoezi la ukoaji wa miili ya watu hao. Mmoja ya mwili wa mmoja kati ya watu sita waliokufa kwa kufunikwa na  kifusi katika machimbo ya Moramu eneo la Pumuani wilaya ya Moshi  vijijini.  Sehemu ya eneo la tukio   Uongozi wa mkoa wa Kilimanjaro ukiongozwa na mkuu wa mkoa wa  Kilimanjaro Leonidas Gama ukishuhudia zoezi la ukoaji wa miili ya watu  hao.  Juhudi za kuokoa waliofukiwa zikiendelea   Gari aina ya fuso lenye namba za usajili T 167 AQG ambalo marehemu wa  tu...