Posts

Showing posts with the label SPORTS

UCL: Madrid fainali ya 14, Atletico fainali 2 walizocheza zote ziliisha vibaya – hizi hapa takwimu 14 unazotakiwa kuzifahamu

Image
Hatimaye michuano ya kombe la mabingwa wa ulaya inaelekea ukingoni kwa fainali itakayowakutanisha wababe wa jiji la Madrid – Real Madrid vs Atletico ndani ya Jiji la Milan.  Kuelekea mchezo fainali tuanze kupata countdown ya matukio/takwimu yaliyotokea kuanzia kwenye hatua ya makundi mpaka nusu fainali kuelekea fainali. 1. Real Madrid wamefika kwenye fainali ya michuano ya ulaya/ChampionsLeague mara ya 14 sasa, mara nyingi zaidi ya timu yoyote. 2. Hii itakuwa mara ya 3 katika kipindi cha miaka minne ambapo fainali ya Champio League inachezwa na timu kutoka kwenye taifa moja. 3. Real Madrid wameshinda mechi zote 6 walizocheza katika uwanja wao wa nyumbani msimu huu wa Champions league – wakipata clean sheet mechi zote kwa maana ya kutoruhusu wavu wao kuguswa.  4. Cristiano Ronaldo amecheza mechi ya 17 ya nusu fainali ya ligi ya mabingwa wa ulaya – rekodi anayoshea na Xabi Alonso. 5. Sergio Aguero amefeli kufunga na kupiga hata shuti moja lilolenga goli katik...

Maneno ya kwanza ya Benitez baada ya kutangazwa kuwa kocha wa Newcastle

Image
Jioni hii kwa hapa Tanzania habari zilianza kutoka kwamba Rafael Benitez amewasili St James Park kwa ajili ya kumalizia mambo ya mwisho mwisho. Guus Hiddink alisema kwamba Rafa Benitez ataleta uzoefu wa mkubwa kwa club ya Newcastle kama akiwa manager mpya wa club hiyo. Hatimaye Benitez amekua kocha mpya wa Newcastle united baada ya McClaren kufukuzwa kazi baada ya kikosi chake kuipeleka timu kwenye bonde la kushuka daraja. Benitez baada ya kutangazwa kuwa kocha wa Newcastle alisema, “Nina furaha kuthibitisha kwamba nimefanya maamuzi na club kubwa ya England ambayo ina changamoto kubwa kwa sehemu ya ligi iliyobaki. Haitakua changamoto kubwa kwangu bali itakua kwa kwa wachezaji wangu,viongozi na mashabiki pia. Wote inabidi tuwe na lengo moja kwenye vichwa vyetu na nitaomba ushirikiano wenu kwenye hili.Mimi binafsi kurudi kwenye EPL ni kama kurudi kwenye familia yangu. Nahitaji ushiriki wenu kwa kikamilifu.”

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya March 6

Image
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya March 6 ==

Simba kushuka kijeshi, Kaseja azua hofu Mbeya City

Image
Simba kushuka kijeshi, Kaseja azua hofu Mbeya City Wachezaji wa Simba wakifanya yao. Nicodemus Jonas, Dar es Salaam BAADA ya kuwa mafichoni kwa takriban wiki moja mkoani Morogoro, kikosi cha Simba sasa kipo fiti, tayari kuwavaa Mbeya City katika mchezo utakaopigwa keshokutwa Jumapili kwenye Uwanja wa Taifa, Dar. Simba wanashuka dimbani wakiwa na kumbukumbu ya ushindi wa bao 1-0 kwenye mzunguko wa kwanza uliopigwa kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya lakini Simba ilikuwa chini ya Muingereza, Dylan Kerr wakati kwa sasa ipo chini ya Mganda, Jackson Mayanja. Meneja wa Simba, Abbas Ally ‘Gazza’ amewahakikishia Wanasimba kuwa kwa mazoezi waliyofanya, wana uhakika wa ushindi. “Kikosi kipo vizuri, bahati nzuri wachezaji karibia wote wapo, isipokuwa Hija Ugando ambaye alibaki Dar akiuguza majeraha, lakini wengine wote wapo kambini katika maandalizi ya mchezo huo,” alisema Gazza. Kipa wa Mbeya City, Juma Kaseja. Aidha, upande wa M...

Kiiza aandikiwa barua ya onyo kali Simba

Image
Kiiza aandikiwa barua ya onyo kali Simba Mshambuliaji wa Simba, Kiiza. Wilbert Molandi na Hans Mloli KATIKA kuhakikisha wanatengeneza nidhamu kwenye timu, uongozi wa Simba umeliagiza Benchi la Ufundi la timu hiyo kumuandikia barua ya onyo kali mshambuliaji wake Mganda, Hamis Kiiza. Hatua hiyo imekuja siku chache tangu uongozi wa Simba utangaze kumsimamisha beki na nahodha wake msaidizi, Hassani Isihaka kwa kile kilichodaiwa kuonyesha utovu wa nidhamu kwa kocha wao Mganda, Jackson Mayanja. Mara ilivyotangazwa kusimamishwa kwa Isihaka, Kiiza alimtetea beki wake huyo katika Mtandao wa Kijamii wa Instagram kitendo ambacho kinadaiwa kuwa kiliwakasirisha viongozi wa Simba. Akizungumza na Championi Ijumaa, Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Simba, Haji Manara, alisema kuwa tayari wamemuagiza meneja wa timu hiyo, Abbas Ally kumuandikia barua ya onyo mshambuliaji huyo. Taarifa kutoka ndani ya kambi ya Simba iliyopo Morogoro imeeleza kuwa Kiiza aliomba radhi kwa al...

Je Van Gaal ataumaliza msimu vizuri? Aiongoza United kushinda mechi ya 4 mfululizo

Image
Je Van Gaal ataumaliza msimu vizuri? Aiongoza United kushinda mechi ya 4 mfululizo  By Aidan Charlie - March 3, 2016 SHARE Facebook Twitter Mapema wiki iliyopita hakuna shabiki wa ambaye alikuwa anaamini timu yake ingeweza kupata matokeo chanya katika mechi 4 zilikuwa zinafuatana mfululizo za michuano tofauti, kutokana kiwango cha timu yao na udhaifu wa kikosi hicho kilichojaa majeruhi. Lakini chini ya kocha ambaye anaripotiwa kwamba siku zake za kuendelea kuwa mkufunzi mkuu wa timu hiyo zinahesabika – Manchester United imefanikiwa kushinda mechi zote zilizokuwa mbele yao. Baada ya kufungwa 2-1 na FC Mityjlland wiki mbili zilizopita, United waliifungua wiki iliyopita na ushindi wa 3-0 dhidi ya Shrewbury FC katika mchezo wa raundi ya 5 ya kombe la FA. Alhamisi ya wiki iliyopita Van Gaal na vijana wake wakawa na m...

Juve yaponea tundu la Sindano kwa Inter – Penati zawabeba. Fainali sasa vs AC Milan

Image
Juve yaponea tundu la Sindano kwa Inter – Penati zawabeba. Fainali sasa vs AC Milan By Aidan Charlie - March 3, 2016 SHARE Facebook Twitter Aibu nusra iwakumbe wakubwa usiku wa kuamkia leo huko Italia ndani ya Jiji la Milan. Mabingwa watetezi wa kombe la Coppa Italia Juventus leo wameepuka kuvuliwa ubingwa wao huo baada ya kukubali ushindi wao wa 3-0 katika mechi ya kwanza kule Turin kupinduliwa na vijana wa Roberto Mancini kwa kupigwa 3-0 na Milan ndani ya dakika 90 za mchezo marejeano. Lakini mwishowe bahati ikawa upande kwa kushinda kwa penati 5-3 na kutinga fainali.  Inter wakiingia kwenye mchezo huo wa nusu fainali ya pili ya Coppa Italia wakiwa na deni la magoli matatu waliyofungaa Turin January 27, walifanikiwa kupambana na kurudisha deni hilo kwa magoli ya Marcelo Brozovic dakika 16, Ivan Perisc akapiga l...

WACHEZAJI WALIOBEBA NDOO YA EPL BAADA YA KUONDOKA ARSENAL HATIMAYE KUIPA USHINDI MNONO TIMU YA MAN CITY UBINGWA

Image
WACHEZAJI WALIOBEBA NDOO YA EPL BAADA YA KUONDOKA ARSENAL Ni miaka 12 sasa Arsenal wanaweza kuadhimisha toka washinde kombe la Ligi kuu nchini Uingereza kwa mara ya mwisho, ni kitu kinachowauma sana sio mashabiki tu wa klabu hiyo lakini hata wachezaji pia. Ndiyo, mtu anaweza kusema kuwa Vijana wa Arsene Wenger ni wapinzani sahihi wa kombe wa kombe la Ligi kuu Uingereza msimu huu kutokana ana wapinzani wake wa muda mrefu Chelsea na Manchester United wote wakiwa nje ya Top Four. The Gunners kwa sasa wameachwa pointi sita wakiwa katika nafasi ya tatu na vinara wa ligi hiyo Leicester City, labda tusubiri na tuone kama vijana hao wa kasikazini mwa Jiji la London wataweka tabasamu katika nyuso zao kwa kuchukua kombe la Ligi kuu Uingereza ifikapo mwezi wa tano mwaka huu. Kuna baadhi ya wachezaji waliojaribu kusubiri kama Arsene Wenger,wakaamua kutimka Arsenal na kujiunga na vilabu vingine vya Ligi kuu Uingereza na wakafanikiwa kuchukua Kombe la Ligi k...

KOCHA Van Gaal tayari kupiga msasa Man U

Image
Man U imevutiwa na ukufunzi makini wa Van Gaal, lakini je ataweza kuirudisha M U kileleni? Huku ushabiki na mbwembwe za kombe la dunia zikibaki kumbukumbu,ushabiki sasa unarudi vilabuni, wana- Manchester United, wanamwangalia kwa karibu kocha wao mpya Louis van Gaal, amekuja na miujiza gani? Alipowasili kwenye uwanja wa mazoezi Carrington amesema hana jipya zaidi ya kujenga mshikamano zaidi miongoni mwa wachezaji. 'Ni lazima tuimbe wimbo huohuo ulioisaida timu ya Uholanzi ililowaezesha kukaribia ushindi wa kombe la dunia na kuibuka nafasi ya tatu kwa kuwafunga wenyeji Brazil' amesiitiza Lakini ufafanuzi zaidi ataotoa katika mkutano na waandishi habari baadae leo. Kikosi hicho cha Man United kikiwa na wachezaji wapya akina Herrera na Luke Shaw, waliopatikana kwa gharama ya zaidi ya £millioni 56m,wataelekea Marekani ijumaa kwa ziara na kucheza angalau mechi tano. ...

HAPO NDIPO UWANJA WA REAL MADRID KUUKARABATI UWANJA WA SANTIAGO BERNABEU - UNATARAJIWA KUINGIZA WATU 90,000

Image
HAPO NDIPO UWANJA WA REAL MADRID KUUKARABATI UWANJA WA SANTIAGO BERNABEU - UNATARAJIWA KUINGIZA WATU 90,000 Raisi wa Real Madrid Florentino Perez jana alionyesha rasmi ramani mpya ya uwanja wa Santiago Bernabeu utakavyokuwa baada ya kufanyiwa marekebisho. Uwanja huo ambao ni mmoja wa miongoni mwa viwanja bora duniani unatarajiwa kuanza matengenezo hivi karibuni na unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa 2017.  Perez amesema matengenezo hayo yatakuwa yakisitishwa kila wakati ambapo timu itakuwa ina mchezo wa nyumbani, kwa maana hiyo Madrid wataendelea kuutumia Santiago Bernebeu katika kipindi chote hiki cha matengenezo. 

NAMBA MAALUM KWENYE MCHEZO WA MANCHESTER CITY VS CHELSEA.

Image
NAMBA MAALUM KWENYE MCHEZO WA MANCHESTER CITY VS CHELSEA. 10 Chelsea imekusanya pointi 10 kwenye michezo 4 waliyocheza dhidi ya timu zilizopo kwenye nafasi nne za juu kwenye msimamo wa ligi kuu ya England. 61 Hii ilikuwa ni mara ya kwanza kwenye michezo 61 Man City wameshindwa kufunga bao kwenye uwanja wao wa nyumbani.ilikuwa imebaki michezo 5 kuifikia rekodi ya mahasimu wao Man Utd ya kufumania nyavu kwenye michezo 66 mfululizo. 260 Idadi ya siku ambazo City kwa mara ya mwisho walipoteza mchezo kwenye uwanja wa nyumbani, mara ya mwisho ilikuwa ni mwezi may mwaka 2013 walipofungwa mabao 3-2 na Norwich Ciy   2008 Hii ni mara ya kwanza tangu Disemba 2008 Chelsea wameweza kucheza mechi nne mfululizo ugenini bila kuruhusu nyavu zao kuguswa.  25 City walipiga mashuti 25 kuelekea goli la Chelsea,lakini ni mashuti 3 tu yaliyolenga goli.   16 Eden Hazard ali-dribble na mpira mara mara 16. Kwenye mchezo huo hakuna mc...