Taswira:Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Willibrod Slaa Aunguruma Kibondo na Kigoma aliyekuwa Mwenyekiti Kitongoji cha Mtaa wa Shule katika Kijiji cha Mabamba kupitia CCM, Sevelino Damian ajiunga na Chadema
Katibu Mkuu wa Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, akihutubia katika
mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Community Center mjini Kibondo
Katibu Mkuu wa Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, akipokea kadi ya
uanachama, kutoka kwa aliyekuwa Mwenyekiti Kitongoji cha Mtaa wa Shule katika
Kijiji cha Mabamba kupitia CCM, Sevelino Damian, ambaye amehemia Chadema,
wakati wa mktano wa hadhara uliofanyika kijijini hapo
Comments
Post a Comment