TEKNOLOJIA NA MABADILIKO YAKE: WAZIRI DKT. FENELLA MUKANGARA AFUNGUA LA 9 LA CTO LA MABADILIKO YA MFUMO WA UTANGAZAJI WA ANALOJIA KWENDA DIJITALI (DBSF) JIJINI ARUSHA
TEKNOLOJIA NA MABADILIKO YAKE: WAZIRI DKT. FENELLA MUKANGARA AFUNGUA LA 9 LA CTO LA MABADILIKO YA MFUMO WA UTANGAZAJI WA ANALOJIA KWENDA DIJITALI (DBSF) JIJINI ARUSHA
Waziri
wa Habari, vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangara
akifuatilia hotuba mbalimbali katika ufunguzi wa Kongamano la 9 la
uhamaji wa mfumo wa utangazaji kutoka analojia kwenda dijitali Afrika
2014 (DBSF)ulioanza jijini Arusha. Katikati ni Katibu Mtendaji wa
Shirika la Mawasiliano kwa nchi za Jumuia ya Madola (CTO), Tim Unwin
akifuatiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA),
Prof. John S.Nkoma.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Prof. John S.Nkoma akitoa hotuba yake.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Prof. John S. Nkoma akizungumza.
Baadhi ya waalikwa ambao ni viongozi wa Vituo vya televisheni nchini Tanzania
Baadhi ya wajumbe wa bodi ya Wakurugenzi ya TCRA wakifuatilia mijadala katika kongamano hilo.
Waziri wa Habari, vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangara
akifuatilia hotuba mbalimbali katika ufunguzi wa Kongamano la 9
la uhamaji wa mfumo wa utangazaji kutoka analojia kwenda dijitali
Afrika 2014 (DBSF)ulioanza leo jijini Arusha. Katikati ni Katibu
Mtendaji wa Shirika la Mawasiliano kwa nchi za Jumuia ya Madola (CTO),
Tim Unwin akifuatiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano
Tanzania (TCRA), Prof. John S. Nkoma.
Meneja
Mawasiliano wa TCRA, Innocent Mungy ambaye pia ndiye Mwendeshaji wa
kongamano hilo, akiteta jambo na Mkurugenzi wa Utangazaji wa TCRA, Habbi
Gunze wakati wa kongamano hilo .
Katibu
Mtendaji wa Shirika la Mawasiliano kwa nchi za Jumuia ya Madola (CTO),
Tim Unwin akizungumza.
Baadhi ya washiriki wakifuatilia hotuba ya Waziri wakati wa ufunguzi wa kongamano hilo jijini Arusha. Kwa picha zaidi bofya hapa >>
Comments
Post a Comment