VIVUTIO NA MALIASILI, ARDHI NA MAZINGIRA : KAMATI YA ARDHI ,MALIASILI NA MAZINGIRA IKIONGOZWA NA MHE. JAMES LEMBELI YATEMBELEA HIFADHI YA ARUSHA
VIVUTIO NA MALIASILI, ARDHI NA MAZINGIRA : KAMATI YA ARDHI ,MALIASILI NA MAZINGIRA IKIONGOZWA NA MHE. JAMES LEMBELI YATEMBELEA HIFADHI YA ARUSHA
Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi,maliasili na mazingira,James Lembeli
akiwa ameongozana na naibu waziri wa maliasili na utalii,Mahamud
Mgimwa pamoja na kaimu mkurugenzi mkuu TANAPA,Martin Loibooki katika
lango kuu la kuingia hifadhi ya taifa ya Arusha(ANAPA).
Baadhi ya watumishi wa hifadhi ya taifa ya Arusha.
Naibu waziri wa maliasili na utalii,Mh Mahamud Mgimwa akizungumza
katika kikao cha watumishi wa hifadhi ya taifa ya Arusha na kamati ya
ardhi,maliasili na mazingira.
Kikao cha kamati ya ardhi,malasili na mazingira na watumishi wa
hifadhi ya taifa ya Arusha.
Mwenyekiti wa kamati ya ardhi,malaisili na mazingira,Mh James Lembeli
akizungumza katika kikao cha watumishi wa hifadhi ya taifa ya Arusha
na kamati ya ardhi,maliasili na mazingira.
Mjumbe wa kamati ya ardhi,maliaisili na mazingira Mh ,Ester Bulaya
akizungumza katika kikao cha watumishi wa hifadhi ya taifa ya Arusha
na kamati ya ardhi,maliasili na mazingira.
Comments
Post a Comment