Mohamud akutana na balozi wa Marekani kwa Somalia
Mohamud akutana na balozi wa Marekani kwa Somalia Agosti 27, 2013 + Toa maoni sasa Chapisha Baruapepe Panga upya Punguza Ongeza Rais Hassan Sheikh Mohamud alijadiliana uhusiano kati ya pande mbili na Mjumbe Maalum wa Marekani kwa Somalia, James McAnulty, mjini Mogadishu siku ya Jumatatu (tarehe 26 Agposti), iliripoti Redio Bar-Kulan inayofadhiliwa na Umoja wa Mataifa. Makala zinazohusiana Kuendelezwa kwa vikwazo vya silaha kwatishia mafanikio ya usalama nchini Somalia Kenya, Somalia na utata juu ya udhibiti wa Kismayo Waziri wa Mambo ya Nje wa Somalia Aadan: Somalia iko wazi kwa biashara Rais wa Somalia apongeza mipango ya Mpango Mpya Msemaji wa Rais, Abdirahman Omar Osman, alisema Mohamud na McAnulty pia walijadiliana mazungumzo yanayoendelea kati ya viongozi wa serikali ya shirikisho ya Somalia na wa mkoa wa Jubbaland mjini Addis Ababa, kongamano la kitaifa litakalofanyika baadaye mjini Mogadishu na hali ya usalama nchini humo....