Posts

Showing posts from December, 2013

KATIBU MKUU WA SIMBA AACHIA NGAZI AULA TFF - MWESIGA WA YANGA NAE KUMRITHI ANGETILE

Image
KATIBU MKUU WA SIMBA AACHIA NGAZI AULA TFF - MWESIGA WA YANGA NAE KUMRITHI ANGETILE KAMATI ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imekutana wikiendi iliyopita na kufikia uamuzi wa kuwapa ajira aliyekuwa katibu wa Yanga, Selestine Mwesigwa na wa Simba, Evodius Mtawala. Mwesigwa atafanya kazi hiyo chini ya uangalizi kwa kipindi cha miezi sita na endapo TFF atamudu nafasi hiyo atapewa muda zaidi, lakini kama atashindwa basi ajira yake itasitishwa mara moja. Wakati Mwesigwa akiinasa ajira hiyo aliyoshindania vikali na Michael Wambura, mwenzake wa Simba, Mtawala ameula kwenye Mkurugenzi wa Sheria na Masuala ya Utawala ambayo ni nafasi mpya katika shirikisho hilo. Kufuatia uteuzi huo ni wazi Mtawala atalazimika kuachia ngazi katika nafasi yake ya ukatibu kwenye klabu ya Simba, huku taarifa zilizoifikia Mwanaspoti usiku wa jana Jumatatu, Mtawala ameihakikishia TFF kwamba tayari ameshawasilisha barua yake ya kuacha kazi kwenye klabu ya Simba. Mwesigwa na Mtawal...

HIKI NDICHO KIFO CHA SOKA YA WAINGEREZA...MAKOCHA TISA WAMWAGA FEDHA KUNUNUA WACHEZAJI LIGI KUU ENGLAND LAKINI HAKUNA MTOTO WA NYUMBANI HATA MMOJA

Image
HIKI NDICHO KIFO CHA SOKA YA WAINGEREZA...MAKOCHA TISA WAMWAGA FEDHA KUNUNUA WACHEZAJI LIGI KUU ENGLAND LAKINI HAKUNA MTOTO WA NYUMBANI HATA MMOJA Home » Unlabelled » HIKI NDICHO KIFO CHA SOKA YA WAINGEREZA...MAKOCHA TISA WAMWAGA FEDHA KUNUNUA WACHEZAJI LIGI KUU ENGLAND LAKINI HAKUNA MTOTO WA NYUMBANI HATA MMOJA IMEWEKWA SEPTEMBA 6, 2013 SAA 6:37 USIKU TULIJUA England wako hatarini kufuzu kushiriki kwenye Kombe la Dunia, tulijua timu ya vijana chini ya miaka 21 ya England haitavuka hatua ya Makundi katika michuano ya Ulaya wakati wa kiangazi – walifungwa mechi zote tatu wao wakifunga bao moja tu. Tulijua timu ya vijana ya England chini ya miaka 20 itafanya vibaya wakati wa michuano ya dunia Uturuki na kabla ya kutoka katika hatua ya makundi. Timu ya England chini ya miaka 20 haijawahi kushinda mechi tangu wakati Jamie Carragher na Michael Owen walipoichezea mwaka 1997. Kaa pembeni Waingereza: Brendan Rodgers hajasajili hata mchezaji mmoja wa nyumbani wakat...

Maelfu wamzika Mzee Nelson Mandela kijijini kwao Qunu leo

Image
Maelfu wamzika Mzee Nelson Mandela kijijini kwao Qunu leo Sunday, December 15, 2013 Maoni: 0    Mazishi ya Nelson Mandela yanaendelea katika kijiji cha Qunu katika mkoa wa Eastern Cape na kumaliza wiki moja ya maombolezi ya shujaa wa Afrika,Nelson Mandela. Takriban watu 4,500 ikiwemo wageni wa kimataifa wanahudhuria mazishi hayo ambayo ni ya mchanganyiko wa tamaduni za kale na mambo ya kisasa. Familia ya Mandela ilikesha wakijiandaa kwa mazishi ya leo huku kukiwa na muimbaji ambaye atakuwa anaita mizimu ya mababu wa kale na pia wakiongelesha mwili wa Mandela kumwambia kuwa sasa anazikwa. Ni kuambatana na tamaduni na mila za watu wa ukoo wa Mandela wa Thembu. Viongozi wa Afrika, familia na marafiki wametoa heshima zao za mwisho kwa hayati Nelson Mandela katika mazishi yake ya kitaifa katika kijiji cha Qunu katika mkoa wa Cape Mashariki. Mandela a...

HIVI NDIVYO JINISI JINA LA KIKWETE LILIVYOONGOZA MAZISHI YA MANDELA

Image
HIVI NDIVYO JINISI JINA LA KIKWETE LILIVYOONGOZA MAZISHI YA MANDELA Johannesburg. Serikali ya Afrika Kusini, imetoa orodha ya majina ya wakuu wa nchi na Serikali 91 ambao wamethibitisha kushiriki katika shughuli zinazohusiana na safari ya mwisho ya Rais wa kwanza mzalendo wa taifa hilo, Nelson Mandela . Jina la Rais Jakaya Kikwete ni la kwanza katika orodha hiyo inayowaweka viongozi hao katika makundi kutokana na mabara wanakotoka. Rais Kikwete alitarajiwa kuwasili jana usiku tayari kuhudhuria Ibada ya Kitaifa ya Mandela ambayo imepangwa kufanyika leo kwenye Uwanja wa FNB (Soccer City). Kabla ya Serikali kutoa orodha hiyo, Waziri wa Uhusiano wa Kimataifa wa Afrika Kusini, Maite Nkoana-Mashabane alisema wakuu wa nchi na Serikali 53 walikuwa wamethibitisha lakini jana mchana idadi hiyo ilikuwa imeongezeka na kufikia 91. Kulikuwa na wasiwasi kwamba huenda idadi hiyo ikaongezeka na kuzidi 100. Msemaji wa Wizara ya Uhusiano wa Kimataifa ya Afrika ...

MASTAA WA SIKINDE KUSHUKA NA NYIMBO 5 TAMASHA LA GURUMO JUMAMOSI TCC CLUB …Komandoo kuibuka na 2, Mzee Makassy na Anifa wake

Image
MASTAA WA SIKINDE KUSHUKA NA NYIMBO 5 TAMASHA LA GURUMO JUMAMOSI TCC CLUB …Komandoo kuibuka na 2, Mzee Makassy na Anifa wake   Abdallah Gama na Miraji Shakashia wakila tizi la nguvu  Muhidin Maalim Gurumo akishiriki mazoezi  H afsa Kazinja, Edo Sanga, Juma katundu na Hussen Jumbe wakila tizi.  H ussein Jumbe na Edo Sanga wakibadilishana uzoefu King Maluu na Yahaya wakipulkiza Saxophone  Komandoo Hamza Kalala akiongoza tizi hilo kabambe

NGEMA LA SABABISHA VIFO VYA WATU 6 MKOA WA KILIMANJARO YAUWA WATU SITA NA WENGINE MAJERUHII

Image
Friday, December 13, 2013 NGEMA YAANGUKA KILIMANJARO YAUWA WATU SITA   Wananchi wakijaribu kufukua udongo ili kuopoa  miili ya watu  walofukiwa na kifusi katika machimbo ya Moramu eneo la Pumwani wilaya  ya Moshi vijijini huku wananchi wengine wakishuhudia   Uongozi wa mkoa wa Kilimanjaro ukiongozwa na mkuu wa mkoa wa  Kilimanjaro Leonidas Gama ukishuhudia zoezi la ukoaji wa miili ya watu hao. Mmoja ya mwili wa mmoja kati ya watu sita waliokufa kwa kufunikwa na  kifusi katika machimbo ya Moramu eneo la Pumuani wilaya ya Moshi  vijijini.  Sehemu ya eneo la tukio   Uongozi wa mkoa wa Kilimanjaro ukiongozwa na mkuu wa mkoa wa  Kilimanjaro Leonidas Gama ukishuhudia zoezi la ukoaji wa miili ya watu  hao.  Juhudi za kuokoa waliofukiwa zikiendelea   Gari aina ya fuso lenye namba za usajili T 167 AQG ambalo marehemu wa  tu...

JULIUSJOSEPH BLOG: VIDEO / WATCH OBAMA'S FULL SPEECH AT MANDELA MEMOR...

http://juliusjosephsp.blogspot.com/: VIDEO / WATCH OBAMA'S FULL SPEECH AT MANDELA MEMOR... : CHUMA BLOG http://juliusjosephsp.blogspot.com/ Publish Post

JULIUSJOSEPHSP. BLOG: VIDEO / WATCH OBAMA'S FULL SPEECH AT MANDELA MEMOR...

JULIUSJOSEPHBLOG: VIDEO / WATCH OBAMA'S FULL SPEECH AT MANDELA MEMOR... : JULIUSJOSEPHBLOG

JE WAJUA HILI:TEMBO PAMOJA NA UBABE WAKE HATAMBI MBELE YA CHURA.

Image
JE WAJUA HILI:TEMBO PAMOJA NA UBABE WAKE HATAMBI MBELE YA CHURA. Chura ni mnyama mdogo sana ambaye binadamu hamthamini na wala kumuogapa,lakini Tembo pamoja na kuwa mnyama mkubwa kuliko wote wa porini anamhara sana chura licha ya udogo wake. Tembo hata  akitaka kunywa maji bwawani,mtoni au mahali popote pale,lakini akisikia sauti ya chura au vyura wanaimba,basi yuko radhi kufa na kiu yake kuliko kuingiza mkonga wake kwenye maji hayo yenye chura. Tembo anapokunywa maji ambayo huyachota kwa mkonga wake na kuingiza mdomoni,anaweza kuchota pamoja na chura.Chura huyo huenda moja kwa moja kwenye tumbo la mnyama huyo.Kwa kuwa Tembo ana tumbo kubwa basi chura hujisikia kama yupo bwawani na huanza kuimba kama kawaida yake. ENDELEA KUSOMA STORY HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI Kwa kufanya vile,Tembo hujisikia vibaya na kuanza kutafuta njia ya kumtoa yule chura kwenye tumbo lake.Hivyo huanza kujibamiza kwenye miti,magogo na kujitupa chini kwa nguvu ili mra...

ARSENAL YAONGOZA ALAMA YA POINTI

Image
Monday, December 9, 2013 ARSENAL YAONGOZA ALAMA YA POINTI Klabu ya Arsenal imejinyakulia pointi moja baada ya kwenda sare ya bao moja dhidi ya Everton Arsen Wenger aliwashirikisha wachezaji Jack Wilshere, Kieran Gibbs na Olivier Giroud baada ya kupumzishwa. Gerard Deulofeu, iliipatia Everton nafasi ya kwenda sare na Arsenal huku ikiinyima Arsenal alama saba mbele ya mahasimu wake. Deulofeu aliingiza bao hilo na kumaliza matumaini ya Arsenal ya kupata alama nyingine tatu mbele ya mahasimu wake licha ha Arsena kupata bao la Mesut Ozil. Hata hivyo Arsenal inasalia kuwa mbele ya Liverpool kwa pointi tano. Everton hata hivyo hawakuwa na wasiwasi wa mchezaji yeyote kuwa na jeraha. Antolin Alcaraz alikuwa kwenye kikosi hicho lakini Leighton Baines, Arouna Kone na Darron Gibson walisalia nje. Licha ya kuongoza orodha kwa pointi tano sasa, baadhi wana shauku ikiwa kweli Arsenal inaweza kushinda kombe la ligi la Premier,kwa sababu ushawishi wao kuweza ...