ANGALIA PICHA ZA KANGA MOKO BALAA INYE NJE NJE!
Thursday, November 22, 2012
ANGALIA PICHA ZA KANGA MOKO BALAA INYE NJE NJE!
![]() |
Mmmhhh... uchezaji gani huu jamani? Ndo mambo ya akina 'Khanga Moko Laki Si Pesa, Milioni Moja Paketi Money' |
Tobaaa....! Namna hii tutasalimika kweli? Huyu naye ni memba wa walewale akina 'Kitu T' na 'Kanga Moko' |
![]() |
Uuuuwwwiiiii.....mwenzenu nafwa na kiuno hiki... haki ya nani siangalii tena! |
![]() |
Mtazame na huyu... nd'o walewale. Tatizo ni hiyo khanga yenyewe moja, ambayo unaambiwa imeloweshwa kidogo na kuwa ndembendembe! Kwanini wabunge wasihofie upotofu wa maadili? |
![]() |
Ohooo....! Hawa nao wamevaa vizuri katikati ya mwili, lakini chini ni khanga moja ndembendembe na bado wanajibinua kihasara hasara. Ni balaaa tupu! |
Apo chachaaaa....! Huu wote ni uchokozi wa akina Khanga
Moko
|
CREDIT KWA JULIUSJOSEPH.BLOGGER.COM
Comments
Post a Comment