alahh hii ni kali ya mwaka madam Martha!-3

ALAHH HII NI KALI YA MWAKA MADAM MARTHA KUIBUKIA TENA KWA NAAMNA NYINGE KWA WANAUME MAHIRI WA DUNIA


ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:
Kuona hapati upinzani wala katazo lolote, Madam Martha ambaye ugonjwa wake mkubwa ni wanaume watanashati, aliupeleka mkono kifuani kwa denti wake na kuanza kuuchezesha kiaina huku akisifia kifua kipana cha John. Ikawa wakati akijiandaa kupiga hatua zaidi huku John akiwa ameduwaa kama aliyepigwa na shoti ya umeme, ghafla mlango ulifunguliwa bila mtu kubisha hodi
.
YUMBAYUMBA NAYO SASA…
Kabla mlango haujafunguka wote, haraka sana Madam Martha alijiongeza na kwa kasi kubwa aliinuka alipokuwa amekaa na kuuwahi mlango kwa kuushika kabla mfunguaji hajaingia mzimamzima.
“Ooh, karibu sana K-Man, karibu ulikuja muda eeh,” alijisemesha Madam Martha baada ya kukutana uso kwa uso na K-Man, kijana aliyekuwa akimsaidia kazi za usafi wa mazingira, ambaye kwa pamoja walikuwa wamezoeana kama ndugu, kiasi cha kijana huyo kufikia hatua ya kuingia ndani kwa Madam Martha bila kujali mazingira yakoje.
“Salama tu dada…,” aliitikia K-Man kwa sauti ya kukwaruza huku akitumia jina la dada, ambalo alizoea kumuita mwalimu huyo.
“Mmmh, karibu ila kwa sasa kuna wageni wangu nazungumza nao, sasa labda uje baadaye kidogo, au nitamtuma Deodatha aje kukuita, sawa mdogo wangu?” alijibu Madam Martha lakini tofauti na alivyozoea kuzungumza na K-Man, siku hiyo alikuwa na macho ya wasiwasi mwingi, hali iliyozua maswali kibao kichwani kwa K-Man.
Wakiwa wamesimama mlangoni, Madam Martha akawa anamtazama K-Man usoni kwa macho ya ‘sasa mbona huondoki?’
Hivyohivyo kwa K-Man, naye ikafika mahali akawa anamtazama Madam Martha kwa macho ya ‘leo mbona sikusomi dada!’
Hata hivyo, K-Man akawa hana kingine zaidi ya kuamua kuondoka, huku akiwa ameweka mikono kwa nyuma kwa staili ya kuikutanisha lakini akawa hachoki kugeuka mara kwa mara kumtazama tena Madam Martha.
“Ina maana kama ni wageni, mbona siku zingine huwa ananiruhusu hata kuwasalimia kabisa na kukaa nao? Au leo ni watu muhimu sana, halafu mbona yuko kwenye khanga tu halafu nyepesi namna hiyo?” aliendelea kuwaza K-Man huku akizidi kutokomea machoni kwa Madam Martha.
Madam Martha akatazama huku na kule, akazama tena ndani lakini kabla hajarudi kwa John, aliamua kuufunga kabisa mlango kwa komeo, lengo likiwa kujiepusha na watu ambao wangeweza kufika nyumbani hapo na kumkuta katika mapozi tata na John, mbaya zaidi akiwa ni mwanafunzi wake.
“Khaa…, sasa mbona anafunga mlango tena?” aliwaza moyoni John lakini hakuthubutu kufungua mdomo kusema chochote.
“Usishangae kuona nafunga mlango, unajua ni lazima tuchukue tahadhari kwani mtu anaweza kuingia bila kubisha hodi kama alivyofanya huyu msaidizi wangu wa mambo ya kazi za usafi,” alisema Madam Martha huku akikaa tena kwenye kochi, lakini kukaa kwake hakukuwa kwa kawaida, alikaa kwa kujitupia au kwa lugha nyepesi kwa kujirusha na kujikuta akimlalia John ambaye kwa wakati huo, bado hakuwa huru sana kwani aliyekuwa mbele yake ni mwalimu wake, tena anayemfundisha kila siku.
“Unajua John, mimi na wewe tuna mambo mengi sana tunayofanana, kubwa zaidi ni lile la usafi, ndiyo maana nilivutiwa sana na pafyumu yako, kwa hiyo usinishangae hata kidogo kwa nini nimekuzoea kiasi hiki, halafu hapa si mtu na mwalimu wake, bali ni marafiki tunabadilishana mawazo,” alisema Madam Martha.
“Sawa, lakini huoni kama imekuwa ghafla sana?” aliitikia John kwa mtindo wa swali.
“Siyo hivyo jamani,” alijibu Madam Martha. Safari hii, khanga aliyokuwa amevaa, si tu kwamba ilikuwa imeanza kuvuka, bali ilikuwa imekunjamana na kuacha wazi sehemu kubwa ya mwili wa mwalimu huyo ambaye kwa muonekano wa nje, alikuwa na maringo hivyo haikuwa rahisi sana kwa wanaume kumpapatikia, lakini sasa alikuwa mikononi mwa mwanafunzi wake, tena bila kutongozwa wala kusemeshwa, bali kwa kudata na manukato murua ya mwanafunzi wake huyo.
Ikafika mahali, ikawa kama awali, kwamba hakuna aliyemsemesha mwenzake, ndipo Madam Martha akaanza tena lile zoezi lake la awali, yaani la kupitisha mkono wake kifuani kwa John, safari hii akawa anajaribu kuchezesha vidole vyake laini kwenye bustani changa iliyokuwa kifuani kwa John.
Hakuishia hapo, vidole vikazidi kupandisha kwa juu na kuvishika vile vinundu viwili vya kifuani na kuanza kuviminya kwa vidole, kufikia hapo, John akawa anafumba macho na kuyafumbua lakini bila kusema chochote.
“John, John, John…,” aliita Madam Martha lakini hakuitikiwa.
“Jamani, au hujapenda, nimesema mambo ya ualimu na uanafunzi tuyaweke pembeni kabisa, tena mambo ya huku nyumbani naomba yaishie hukuhuku, sawa John wangu,” alisema Madam Martha lakini lile neno la mwisho la ‘wangu’, lilimsisimua sana John, ambaye sasa alianza kusahau kama aliyekuwa mbele yake ni mwalimu, naye akaanza kutupia mashambulizi kwa kubahatisha ni maeneo yapi yalikuwa hatari mwilini kwa Madam Martha.
Bila kupoteza muda, akanyoosha mkono na kushika sehemu ya paja iliyokuwa wazi, akasimamisha vidole vitatu, yaani kile cha tatu, nne na dole gumba, akawa anavitembeza kwenye vinyweleo laini vya mwalimu wake, ikafika wakati akaachia kiganja chote.
Aligugumia Madam Martha lakini si kama ilivyokuwa kwa John ambaye sasa alikuwa kama aliyevamiwa na mashetani, kwani mwalimu wake alikuwa ameshapiga hatua zaidi kwa kuupeleka ulimi wake sikioni mwa John huku akipumua kwa haraka.
Ikafika mahali, sasa John akaamua kuingia kazini, akaamua kutumia mikono yote miwili badala ya mmoja na kumvamia mwalimu wake, ambaye mwili wake ulikuwa umesheheni cheni zaidi ya tano za dhahabu, tayari kanga ilikuwa imeshavuka.
Hakuishia hapo, mwanzoni alikuwa akimpapasa lakini sasa akawa anamminya kama anayekamua jipu, ikawa mara apapase zile cheni, mara azishike na kuziunganisha, ilimradi tu alishaanza kumzoea mwalimu wake.
Sasa ikawa mpambano umepamba moto, kati ya mtu na mwanafunzi wake, John…
Je, unajua nini kiliendelea? Usikose kusoma wiki ijayo kwenye gazeti hilihili.

Comments

Popular posts from this blog