PICHA ZA TAMASHA LA P-SQUARE PALE LEADERS CLUB, JIJINI DAR ES SALAAM. November 30, 2013
PICHA ZA TAMASHA LA P-SQUARE PALE LEADERS CLUB, JIJINI DAR ES SALAAM.
November 30, 2013
Jijini Dar es Salaam, 24 Nov 2013 . . Siku ya jumamosi pale leaders club ulikuwa ni usiku wa kihistoria kwa tasnia ya burudani nchini Tanzania baada ya wasanii mapacha wa kundi la P Square, Peter na Paul Okoye kutoa burudani ya aina yake ambayo haijapata kutokea kwa muda mrefu hapa nchini kwa maelfu ya mashabiki wa burudani waliojitokeza katika viwanja vya leaders club.Sasa kama uliikosa siku hiyo, tupia macho katika picha hizi chache, utapata taswira ya siku hiyo.
Comments
Post a Comment