HIZI NDIZO DALILI ZA MWANAMKE:HIZI NDIO DALILI KWAMBA MWANAUME ULIYE NAYE SI WAKO PEKE YAKO!!!!
HIZI NDIZO DALILI ZA MWANAMKE:HIZI NDIO DALILI KWAMBA MWANAUME ULIYE NAYE SI WAKO PEKE YAKO!!!! Wakati mwingine ni vigumu kuamini, lakini jambo hili huwatokea wanawake wengi kwamba wanaume wanaotoka nao kuna uwezekano mkubwa wakawa wanatoka na wanawake wengine kwa nyakati tofauti na hufanya hivyo kwa siri sana. Inaweza ikawa ni mitoko ya kawaida lakini miongoni mwa hao wanaotoka nao wapo ambao watakuwa wanashiriki tendo na wakawa wameahidiwa kuolewa. Hapa chini nitaeleza dalili zinazoweza kuwafanya wanawake kujua kwamba mwanaume anayetoka naye sio wakwake peke yake bali kuna wengine wanadanganywa huko waliko kama yeye. 1. Mnakuwa na ratiba ya kukutana siku maalum Baada ya kujuana unagundua kwamba bwana uliye naye anakuwa na kawaida ya kukutana na wewe kwa siku maalum tena anazopanga yeye, mwanaume anakuwa hana nafasi ya kushtukizwa miadi na akipanga ratiba yake hawezi kuibadilisha kirahisi. Anaweza kukupangia muwe mnakutana mara mbili kwa wiki na siku n...