UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI ARUSHA: MHE. GOBLESS LEMA AMNADI MGOMBEA WA KATA YA SOMBETINI JIJINI ARUSHA BW. ALLY BANANGA
UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI ARUSHA: MHE. GOBLESS LEMA AMNADI MGOMBEA WA KATA YA SOMBETINI JIJINI ARUSHA BW. ALLY BANANGA
Mbunge wa Arusha Mjini ambaye pia ni mjumbe wa Kamati Kuu Chadema, Mh Godbless Lema akimpa wosia mgombea wa chama hicho katika kinyang’anyiro cha kuwania udiwani Kata ya Sombetini katika mkutano mkubwa uliofanyika katika viwanja vya Mbauda Sokoni.
Alipopata fursa ya kuzungumza, Bi Jesca Kishoa aliielezea na kuisifu Arusha na watu wake ni chachu ya mabadiliko nchini na kwamba hata historia ya nchi inaeleza hivyo. Akasisitiza zaidi na kusema kwamba kama kuna mtu anapingana na upepo huu wa mabadiliko atakuwa ni sawa na abiria wa ndege kaachwa na ndege sasa anakodisha baiskeli ili akimbize ndege, jambo ambalo halitamuwezesha kuiwahi ndege, sawasawa na ambavyo alidai mabadiliko hayazuiliki.
Comments
Post a Comment