BREAKING NEWS: BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI LATAJWA HIVI SASA
BREAKING NEWS: BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI LATAJWA HIVI SASA
BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI LINATAJWA HIVI SASA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM NA NA KATIBU MKUU KIONGOZI,BALOZI OMBENI SEFUE.
- - Hakuna Mabadiliko Ofisi ya Rais
- - Ofisi ya Makamu Wa Rais - Naibu Waziri Kitwanga amehamishwa na nafasi yake imejazwa na Mhe. Ali Mwalimu
- - Mwigulu Nchemba amekuwa Naibu Wizara ya Fedha (Sera). Aliyekuwa nafasi hiyo sasa ni Waziri Kamili
- - Uchumi na Mapato sasa anatoka Janet Mbene na inajazwa na Adam Malima
- - Asharose Migiro sasa ni Waziri wa Katiba na Sheria
- - Ulinzi na Kujenga Taifa => Hussein Mwinyi
- - Mambo ya Ndani - Mathias Chikawe
- - Afya na Ustawi wa Jamii - Naibu wake sasa ni Waziri Kamili; naibu wa sasa ni Dr. Kebwe S. Kebwe
- - Mulugo ameondoshwa rasmi serikalini. Nafasi yake imejazwa na Jenista Muhagama
- - Pindi chana amejaza nafasi ya Ummi Mwalimu - Jinsia na watoto
- - Mifugo na Maendeleo ya Mifugo - Titus Kamani atakuwa Waziri mpya. Naibu ni Telele na hivyo Wizara nzima imepata mawaziri wapya
- - Ole Medeye OUT - Simbachawene kachukua nafasi yake (Naibu wa Prof. Tibaijuka)
- - Naibu Kilimo - Zambi
- - Habari - Naibu ni Juma Nkamia
- - Nyalandu amekuwa Waziri Kamili. Naibu ni Mahmood Hassan Mgimwa
- - Muhongo na Naibu wake wamebakizwa. Nishati atachukua Charles Kitwagwa akiichukua toka kwa Simbachawene
Comments
Post a Comment