KASHESHE LA NGUO ZA NDANI: TBS NA POLISI WAFANYA OPERESHENI YA KUSAKA NGUO ZA MITUMBA ZA NDANI.

KASHESHE LA NGUO ZA NDANI: TBS NA POLISI WAFANYA OPERESHENI YA KUSAKA NGUO ZA MITUMBA ZA NDANI.



 Askari Polisi wa Kanda Maalumu ya Dar Es Salaam wakibeba maborota ya mitumba ya nguo za ndani kama sidiria na chupi leo katika soko la Karume katika operesheni ya kukataza kuuza nguo za ndani za mitumba ambapo operesheni hiyo ikiendeshwa na shirika la Viwango Tanzania (TBS).
 Marobota ya nguo za ndani yakipakizwa katika magari ya polisi leo wakati shirika la viwango Tanzania Kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Nchini wakati walipoendesha operesheni Kataza kuuza nguo za ndani ambazo zishatumika(mitumba)
 Askari Polisi wakiendelea na operesheni hiyo katika Soko la Karume huku wafanyabiashara wa Sokoni hapo wakishuhudia zoezi hilo
 Magari ya polisi yakiwa Yamebeba Marobota ya Mitumba ya Nguo za Ndani mapema leo katika Soko la Karume katika Operesheni kataza kuuza nguo za ndani za mitumba
 Msafara kuelekea katika Kituo cha Polisi cha Msimbazi kwaajili ya kupeleka Mzigo uliokamatwa wa nguo za ndani zilizotumika almaarufu kama mitumba kwaajili ya kuteketezwa na moto wakati wa operesheni kataza kuuza mitumba ya nguo za ndani. Picha zaidi

Comments

Popular posts from this blog

alahh hii ni kali ya mwaka madam Martha!-3

ANGALIA PICHA ZA KANGA MOKO BALAA INYE NJE NJE!