Posts

Showing posts from April, 2014

MSANI AU NGULI WA MUZIKI WA DANCE NCHINI `MUHIDIN NGURUMO AFARIKI DUNIA JANA

Image
Kwa hisani kubwa ya kituo chetu cha television kupitia EAST AFRICA TV NA RADIO ndicho kinatangaza na kutupa habari zilizojili katika kifo chake nguli wa muziki wa dance nchini tanzania ambaye alistafu mziki mwaka huu tarehe 13 April 2014 .kwa taafifa zaidi kuwa msimamizi wake au meneja wake ambaye alikuwa anamsimamia katika muziki na pia alieleza kuwa  alikuwa anasumbuliwa na mapafu kwa mda mrefu na kuchangia itilafu ya afya yake kudhoofika . kwa kuwaekea mambo sawa kutokana na familia yake na kushirikiana na chama cha mziki tanzania watakuwa moja kwa moja na kushirikiana na maandalizi ya kumweka mahali pema mzee muhidin ngurumo kwa kufanya na mahafali ya kuhitimisha mazishi yake na familia kwa ujumla.Taarifa nyingine nitawaletea kutapojiri kutoka kwa mapaparazi wetu huko dar.

WAENDESHA BODA BODA NA BAJAJI ZA ABIRIA KIKONA CHA MOTO ENDAPO WATAVUKA MWENGE KWENDA POSTA WATATOZWA FAIN AU KUNYANG`WA VYOMBO HIVYO VYA USAFIRISHAJI ABIRIA KWA HARAKA

Image
 Oparesheni Kamata Bodaboda na Bajaji ikiwa inaendelea upande wa Mwenge mataa ambapo Bajaji nyingi zimekamatwa  Askari wa Usalama wa Barabarani akiwa anawaandikisha Baadhi ya Bodaboda na Bajaji wenye makosa mbalimbali ili waweze kulipia tozo pamoja na kupelekwa kituo cha Polisi.  Baadhi ya Bodaboda na Bajaji wakiwa wanangojea Hatma yao baada ya kukamatwa  Huu ni upande wa kutokea Mwenge kuelekea Posta ambapo Bajaji haziruhusiwi kuvuka hapo kuelekea Posta  Baadhi ya Madereva wa Bajaji na Boda boda wakijadiliana Juu ya swala hilo la kuzuiliwa kuelekea Posta  Baadhi ya Bodaboda zikiwa zimekamatwa   Madereva wa Boda Boda na Bajaji wakipata maelezo ya kina ya kwanini wamezuiliwa  kwenda Posta wakitokea Mwenge  Mmoja wa Madereva wa Bodaboda akiwa amekaa kwa Mawazo asijue anafanya nini Baada ya Bodaboda yake kukamatwa na Kupelekwa Polisi. Oparesheni Nzito ya kuzuia Boda...

BIKRA SIO LAZIMA UTOKWE NA DAMU KWA TENDO LA KWANZA

Image
BIKRA SIO LAZIMA UTOKWE NA DAMU KWA TENDO LA KWANZA Bikira, mbona Damu haikutoka? Habari dada dinah natumaini wewe ni mzima wa afya. Nimekua nkifuatilia blog yako kwa ukaribu sana umekua ukitufundisha mambo mengi sana ambayo hata mie sikua nikiyafahamu hapo kabla. Pole sana kwa majukumu. Mimi ninatatizo na nimeona wewe ni wapekee ambae unaweza kunisaidia tatizo langu, siku za karbuni nilipata mpenzi ambae aliniambia kua yeye ni bikra nilikubali kwa hilo. Lakini siku ya siku nilifanya nae mapenzi ikiwa ni siku ya kwanza alilalamika sana anaumia ikabidi tuache, siku ya pili tukafanya tena kwa bahati nzuri uume wangu ulifanikiwa kuingia ndani vizuri na tukamaliza tendo kwa amani. Lakini wasiwasi wangu naona kama amenidanganya coz marafiki zangu waliniambia kuwa unapofanya mapenzi na bikra lazima atoke damu kuashiria bikra yake imetoka. Mpenzi wangu hajawahi kutoka damu sasa sielewi naona kama ananicheat, naomba unisaidie dada yangu kwani nilazima ...

WIKI ILIYOPITA WANA CLOUDS FM NA CLOUDS TV WALISHEREHEKEA SIKU YA KUZALIWA YA MFANYAKAZI MWENZAO Hellen Kazimoto-Pata Vituko Vyao-My Role Models

Image
WIKI ILIYOPITA WANA CLOUDS FM NA CLOUDS TV WALISHEREHEKEA SIKU YA KUZALIWA YA MFANYAKAZI MWENZAO Hellen Kazimoto-Pata Vituko Vyao-My Role Models Anaitwa Hellen Kazimoto yeye yupo kitengo cha events mbalimbali za clouds fm na clouds tv kama mratibu.Birthday yake ilikuwa tarehe 7 October ijumaa iliyopita.Aliamua kuifanyia katika ufukwe wa coco beach tukakutana marafiki zake kibao pande zile. Hellen Kazimoto ,Dina Marios , Arnold Kayanda(mzee wa Jahazi).Kulikuwa na kired carpet cha kizushi kwa ajili ya kupiga picha . Aisha,Adam,Hellen na Junior. B12(My role Model),Hellen na Dj Fetty Mwanamuziki Alpha na Doreen wakiwakilisha ki roho safi. Millard Ayo,Hellen,Moonshine,Arnold. Mwanamuziki Bob Junior na Hellen Kulikuwa na jiko hapo ni mishikaki,kuku na mbuzi choma. Kuna mchezo siku hizi umeenea yaani ikiwa ni siku yako ya kuzaliwa watu wanachofanya ni kukumwagia maji tu.Kama umeifanyia nyumbani ndio balaa watu wanakaa na ndoo za maji wanakuvizia umejisah...

Queen Darleen Ft Shilole - Wanatetemeka (Official Video) | Hassbaby's (Mapacha)

Queen Darleen Ft Shilole - Wanatetemeka (Official Video) | Hassbaby's (Mapacha)

JINSI YA KUZUNGUMZA NA MWANAMKE AKUPENDE KWA DHATI

Image
JINSI YA KUZUNGUMZA NA MWANAMKE AKUPENDE KWA DHATI Kuna baadhi ya wanaume hawajui jinsi ya kuzungumza na mwanamke au msichana. Kwa njia hii wanaume wengi wanaishi maisha ya bila kumvutia mwanamke yeyote. Hapa kunanjia 15 utakazozitumia wewe mwanaume ili kuhakikisha humkwazi mwanamke unayempenda mnapokuwa katika mazungumzo ; 1. Wakati ukizungumza nae, jaribu kuzungumzia "hisia" kama vile kumbu kumbu yako ya utotoni, matarajio ya baadae au matamanio yake. Mada hii ya mazungumzo yenu yatafungua milango ya hisia zake ghafla. 2. Wanawake huhitaji mwanaume asiyekuwa na uoga wa kuwamiriki na kuwaongoza. Wakati unazungumza na mwanamke tawala mazungumzo yenu na kamwe usimpe nafasi ya yeye kuanza kufikiri kuwa nini ulichokuwa ukizungumzia. 3. Kuwa makini wakati unapokuwa ukizungumza nae huku akikupatia majibu yasiyo na hisia zozote za mapenzi. Hapo utajua kunakitu, hivyo kama kwa bahati mbaya uko nae karibu kiasi cha kugusana, basi jisogeze pembeni wakati uki...