Popular posts from this blog
alahh hii ni kali ya mwaka madam Martha!-3
ALAHH HII NI KALI YA MWAKA MADAM MARTHA KUIBUKIA TENA KWA NAAMNA NYINGE KWA WANAUME MAHIRI WA DUNIA ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Kuona hapati upinzani wala katazo lolote, Madam Martha ambaye ugonjwa wake mkubwa ni wanaume watanashati, aliupeleka mkono kifuani kwa denti wake na kuanza kuuchezesha kiaina huku akisifia kifua kipana cha John. Ikawa wakati akijiandaa kupiga hatua zaidi huku John akiwa ameduwaa kama aliyepigwa na shoti ya umeme, ghafla mlango ulifunguliwa bila mtu kubisha hodi
MSANI MAARUFU TANZANIA ASALI YA WAREMBO DIAMOND ( PLTM) HAONYESHA JINSI ANAVYOWAPENDA WA SHABIKI WAKE WA KUSINI MWA MTWARA KWA KUWABURUDISHA AHAIDI KUWATENDEA HAKI KILA MWAKA WAKAZI WA KUSINI
Mwanamuziki Mahiri wa muziki wa kizazi kipya nchini Diamond Platinum,akiwapagawisha mashabiki wake wa mkoa wa mtwara waliofurika katika Tamasha la Ties & Heels lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika kwenye ukumbi wa Makonde beach Mkoani Mtwara jana. Mwanamuziki Mahiri wa muziki wa kizazi kipya nchini Diamond Platinum,akicheza na madansa wake wakati wa Tamasha la Ties & Heels lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika kwenye ukumbi wa Makonde beach Mkoani Mtwara…
Comments
Post a Comment