MSANI MAARUFU TANZANIA ASALI YA WAREMBO DIAMOND ( PLTM) HAONYESHA JINSI ANAVYOWAPENDA WA SHABIKI WAKE WA KUSINI MWA MTWARA KWA KUWABURUDISHA AHAIDI KUWATENDEA HAKI KILA MWAKA WAKAZI WA KUSINI



Mwanamuziki Mahiri wa muziki wa kizazi kipya nchini Diamond Platinum,akiwapagawisha mashabiki wake wa mkoa wa mtwara waliofurika katika Tamasha la Ties & Heels lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika kwenye ukumbi wa Makonde beach Mkoani Mtwara jana.

Mwanamuziki Mahiri wa muziki wa kizazi kipya nchini Diamond Platinum,akicheza na madansa wake wakati wa  Tamasha la Ties & Heels lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika kwenye ukumbi wa Makonde beach Mkoani Mtwara…

Comments

Popular posts from this blog

alahh hii ni kali ya mwaka madam Martha!-3