Posts

Showing posts from July, 2014

Msani wa kikundi cha kuchekesha cha kupitia kipindi cha chanel ten ameamua kusema na kufunguka ya moyoni Kitale (Mkude Simba) amwagia sifa kedekede Riyama Ally.

Image
Kupitia ukurasa wa mtandao mmoja maarufu wa kijamii  nchini, mwigizaji wa vichekesho na filamu nchini, Kitale almaarufu kama Mkude Simba amemwamgia sifa kedekede mwigizaji mwigine anayefanya vizuri kwenye upande wa filamu nchini Riyama Ali kama ishara ya kuonesha upendo wake kwa mwanadada huyo. Huku akiwa ameweka picha ya mwanadada Riyama, Kitale aliandika:  "Huyu mdada mm napenda kumuita kambi popote kwa maana ya kwamba achagui scene yy ukimpa scene yoyote ile kwake twende anacheza, ongera kwa hilo kwanza kwa sababu hiyo ndio sifa kubwa ya msanii kiukweli anajua anastahili sifa maana mpaka anakera mh! cjui niseme anaboa..!! ww mdada unajua mpka unaboaaaa"

KOCHA Van Gaal tayari kupiga msasa Man U

Image
Man U imevutiwa na ukufunzi makini wa Van Gaal, lakini je ataweza kuirudisha M U kileleni? Huku ushabiki na mbwembwe za kombe la dunia zikibaki kumbukumbu,ushabiki sasa unarudi vilabuni, wana- Manchester United, wanamwangalia kwa karibu kocha wao mpya Louis van Gaal, amekuja na miujiza gani? Alipowasili kwenye uwanja wa mazoezi Carrington amesema hana jipya zaidi ya kujenga mshikamano zaidi miongoni mwa wachezaji. 'Ni lazima tuimbe wimbo huohuo ulioisaida timu ya Uholanzi ililowaezesha kukaribia ushindi wa kombe la dunia na kuibuka nafasi ya tatu kwa kuwafunga wenyeji Brazil' amesiitiza Lakini ufafanuzi zaidi ataotoa katika mkutano na waandishi habari baadae leo. Kikosi hicho cha Man United kikiwa na wachezaji wapya akina Herrera na Luke Shaw, waliopatikana kwa gharama ya zaidi ya £millioni 56m,wataelekea Marekani ijumaa kwa ziara na kucheza angalau mechi tano. ...

JESHI LA ARDHINI LA ISRAELI LAINGIA GAZAKWA MSAKO MKALI KWA KUPITIA MAPIGANO YA ARDHINI

Image
Sasa Israel yashambulia Gaza wakitumia vikosi vya angani, ardhini na majini Israel imeanzisha operesheni ya nchi kavu pamoja na mashambulizi ya anga na baharini dhidi ya vuguvugu la kupigania uhuruwa palestina Hamas katika ukanda wa Gaza. Katika kipindi cha siku kumi zilizopita zaidi ya wapalestina mia mbili wameuwawa katika mashambulizi ya anga yaliyotekelezwa na Israel na Muisraeli mmoja aliuwawa katika mashambulizi ya mizinga ya roketi kutoka Gaza. Taarifa zinazohusiana Mashariki ya kati Oparesheni hiyo ya kupeleka majeshi ya ardhini imenza usiku, ni operation kubwa kufanywa katika kipindi cha miezi mitano. Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema lengo ni kuharibu kabisa miundo mbinu na silaha zinazotumiwa na vuguvugu la Hamas kuishambulia Israel. Vifaru karibu kumi vimeshuhudiwa vikielekezwa Gaza huku mashambulio ya angani na majini yakiendelea, ripoti ambazo hazijathibitishwa zinasema huenda hata hospitali zimegwa na mizinga. ...

ADHARI ZA AJALI ZA BARABARANII KUANZIA JANUARY MPAKA JUNE 2014.

Image
Kamanda wa Polisi Kikosi cha usalama Barabarani Dcp Mohameed Mpinga katoa tathmini ya ajali za Barabarani kuanzia Mwezi Januaary mpaka June ikiwa n i kipindi cha nusu mwaka na hivi ndivyo hali ilivyo.   TATHIMINI YA MATUKIO YA AJALI ZA  BARABARAN JAN-JUNE 2013/2014 Takwimu zinaonyesha kuwa juhudi zetu zimefanikiwa kwa kupunguza ajali na majeruhi, ingawa kuna ongezeko la watu waliofarika katika ajali kwa Jan – June 2014. S/N0 JAN-JUNE 2013 JAN –JUNE 2014 ONG/PUNG (%) 1 IDADI YA AJALI 11,311 8,405 -          2,906     (26%) 2 VIFO 1,739 1,743                  4   (0.2%) 3 MAJERUHI 9,889 7,523 -          2,366     (24%)   MIKOA ILIYOONGOZA KWA AJALI ZA BARABARANI KIPINDI JAN-JUNE 2014:- i)   ...

Msanii Aelezea kwa nini alikata uume wake

Image
  Je unamkumbuka mwanamuziki wa kufoka Andre Johnson ambaye alikata Uume wake mwezi Aprili na kisha kujirusha kutoka juu ya jumba moja mjini Los Angeles? Sasa basi emetoa sababu zake akisema alikuwa na akili timamu alipokuwa anafanya hivyo. Johnson, aliishangaza jamii ya wanamuziki wa kizazi kipya, kufuatia kitendo chake cha kukata uume wake Kaskazini mwa Hollywood mwezi Aprili. Madaktari walishindwa kunguanisha sehemu aliyoikata na sehemu nyeti ya mwili wake. Tangu hapo alikimya kwa miezi miwili akipokea matibabu. Lakini aliamua wiki hii kujieleza kwa nini alichukua hatua hiyo na kuambia kituo cha televisheni cha E! nchini Marekani:''Ndio nilikuwa nimetumia dawa za kulevya , lakini nilikuwa najifahamu.'' 'Mi...