WAREMBO JACKLINE KIMAMBO ATWAA TAJI LA MISS REDD'S KAGERA 2014

Mshindi wa Miss Redd's mwaka 2012 Babylove Kalala ndie aliyemvalisha Taji Miss Redd's Kagera 2014
Jackline
Kimambo(katikati) Mshindi wa Redd's Miss Kagera 2014, kulia ni mshindi
wa pili Nyangi Warioba na (kushoto) ni Faudhia Haruna kwenye picha ya
pamoja.
Warembo walipokuwa wakitoa burudani ya ufunguzi.
Warembo wakitoa Burudani ya Ufunguzi




Vazi la Ufukweni

Mshiriki Miss Redd's Kagera 2014 Tete Augustine










Walioshindwa kujizuia waliwafuata jukwaani!! Dreams Girls na Mashabiki wao wakifanya yao stejini





Comments
Post a Comment