“Eugena Washton” Mshindi Model Mpiga Picha Za Nusu Uchi {PLAYMATE OF THE YEAR} Wa Mwaka 2016,
- Get link
- X
- Other Apps
Model wa Marekani Eugena Washington
ametajwa kua mshindi wa “Playmate of the year” kwa mwaka wa 2016.
Playmate ni model ambae hupiga picha za nusu uchi nakuwekwa katika
kurasa ya mbele ya gazeti la Playboy huko Marekani na mshindi hupewa
kiasi cha $100,000 na gari.
Eugena amebahatika kushinda gari ambalo
lina tarajia kutoka mwaka huu mwezi wa sita aina ya “124 Flat Spider”,
na atakua ndo mmiliki wa kwanza wa aina hiyo ya gari.
Eugena pia ni mshindi wa 57 tangu
shidano hili lianze lakini pia ni mshindi wa tatu akiwa kama mwanamke
mweusi kushinda katika shindano hilo la “Playmate”.
- Get link
- X
- Other Apps
Comments
Post a Comment