PICHA: BABY MADAHA KUACHIA "THE GALL BLADDER"

Beiby Madaha
TEAM BEIBY KAENI MKAO WA KULA "THE GALL BLADDER" TAYARI INAINGIA SOKONI
WIKI HII, KUTAKUA NA SUPRISE NYINGI KWA MASHABIKI WANGU IKIWA NI PAMOJA
NA KUJISHINDIA FLAT SCREEN TVS, MOVIES ZA BUREE...NA SAMSUNG
RADIO...
VIPEPERUSHI VITAGAWIWA BURE UNACHOTAKIWA KUFANYA NI KUSOMA NA KISHA KUTUMA JIBU LAKO KUPITIA FACEBOOK ACCOUNT YA CANDY N CANDY...UNACHOTAKIWA NI KUTAZAMA MOVIE KWA UMAKINI UWEZE KUJIBU SWALI KWA UFASAHA.....LENGO LANGU NI KUSHARE NA MASHABIKI WANGU KILE NINACHOPATA,.......THANKX KWA SUPPORT PAMOJA

Comments
Post a Comment