UCHAGUZI ULIOFANYIKA HAPO JANA KATIKA MAENEO TOFAUTI KATIKA MKOA WA ARUSHA NA NCHI NZIMA KWA UJUMLA NA MATOKEO NDIVYO YALIVYOTOKEA CHADEMA : ALLY BANANGA ASHINDA UDIWANI KATA YA SOMBETINI , JIJINI ARUSHA

Mgombea udiwani kwa tiketi ya CHADEMA katika kata ya Sombetini Bw. Ally Bananga :Picha na Maktaba.

 Mgombea udiwani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bw. Ally Bananga katika kata ya Sombetini jijini Arusha ,atangazwa Mshindi kwa kura 2564 na kumbwaga chini mgombea mwenzake wa Chama cha Mapinduzi Bw. David .L. Mollel aliyepata kura 2098 na Mgombea wa Chama cha CUF nae akaambulia kura 37.

Kamanda Daniel Urioh mpambanaji wa Olasiti na Diwani mpya wa kata ya Sombetini Bw. Ally Bananga wakishangiliaushindi huo.

Comments

Popular posts from this blog

alahh hii ni kali ya mwaka madam Martha!-3

ANGALIA PICHA ZA KANGA MOKO BALAA INYE NJE NJE!