MSIBA WA MTUNZA BUSTANI MKUU WA IKULU MAREHEMU RASHIDI CHILANGWA
Mama
Salma Kikwete akijumuika na wafiwa katika kuomboleza msiba nyumbani kwa
marehemu Rashidi Chilangwa huko Mabibo, jijini Dar es salaam.

Viongozi wa ofisi ya Rais Ikulu wakijadiliana na wanafamilia ya marehemu kuhusu mwenendo wa mazishi.

Katibu Mkuu Ikulu Mhe. Peter Ilomo akizungumza machache wakati wa msiba wa Mtunza Bustani mkuu marehemu Rashidi Chilangwa.
Mwili wa marehemu ukipakiwa kwenye gari tayari kwa safari yake ya mwisho shambani kwake Kisarawe kwa mazsishi.
Comments
Post a Comment